Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kazi ya Mungu haina makosaHaya wanaume
Jibuni hili fumbo?
Kuna ukweli wowote katika hili?
Kama.ni kweli mbona wanaume wa Tz wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range
Vimbaombao Passo
Ni KWELI na nimelithibitisha HiloHaya wanaume
Jibuni hili fumbo?
Kuna ukweli wowote katika hili?
Kama.ni kweli mbona wanaume wa Tz wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range
Vimbaombao Passo
Truly 🤨🤨💪💪Kadri linavyozidi kuwa kubwa na akili inapungua kwa kiwango hicho hicho.
Na vice versa is trueTruly 🤨🤨💪💪
Wanawake wanaoongozaga sana darasan ni wale wabovuuu ila weupe na wenye mitako huwaga hawana ufaulu mzuriii!!😔😔Na vice versa is true
Toa comment basi
We ndoa imetushinda mapema kabisa 🤦Kadri linavyozidi kuwa kubwa na akili inapungua kwa kiwango hicho hicho.
Kwani huwa wanafuata akili kwa wanawake?Kama.ni kweli mbona wanaume wa Tz wanapenda sana Minyambizi?
imekushindaje madam, kumbe una Inye gwede gwedeWe ndoa imetushinda mapema kabisa 🤦
Hahahahahah akili hawanagaKumbe ndio maaaaana anhaaa aiseee ndio maana nilikua najiuliza mbona yupo hivi kumbeee...
Swali zuri sana hili! Mwanaume anafuataje akili Kwa mwanamke?Kwani huwa wanafuata akili kwa wanawake?