Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

Rudi kusoma uone ulivyoandika upuuzi
Samahani kwa ku overestimate uelewa wako....
Kama kiswahili andika kiswahili
English unaandika hapa ni ya kipuuzi na unachoelezea haiendani na english
ngoja ni simplify ili uweze kuelewa..., Action and Reaction are equal and opposite; Sasa kama katika majadiliano yenu unamuongelesha mtu pumba au sababu ya maumbile yako unaongelea kuhusu hayo maumbili usitegemee reaction yake kwako itakuwa ni kuzungumzia issues nyingine....

Garbage in Garbage Out; Katika katika interaction yenu wewe unamfeed gargabe usitegemee utapata tofauti na garbage kutoka kwake.
 
Nahisi changamoto ya afya ya akili kwako imeanza
Rudia kusoma uzi taratibu ukiwa sane
 
Back
Top Bottom