Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Hahah..
juzi niliskia makelele redion nkajua mafuvu. Ikabidi niskilize kwa makini, kuja kuskia kumbe yule dj wa diamond.. dah
ku hype Ommy Crazy alimcopy Mafuvu baadae akaja Dj Summer
 
Huyu jamaa bado hapa E.A sijaona ka yeye
Kati ya sajili bora walizowahi kufanya wasafi hapo ni kama Ronaldo asee
Hahaha ata mie aise..

Zile vibe za Mchizi ni laaana..

Nakumbuka Villar Park jamaa aliwai kutuchezesha kama ng'ombe aisee..

Fuvu ni laaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitabiri vizuri ningekuwa n mfanya maamuz hapo wasafi.
Ray mshana ningemreplace na Sam Misago, Ray abaki kwny team ya production.Ammy gal wa kawaida sana awe replaced na demu mwenye vibe kama queen Fifi.
Dj sina shida sana siku hizi kuna dj's wengi sana wazuri hasa kutoka pro 24.
Kwa mtazamo wangu bila chuki sijaona Wasafi kama wana jipya.I wish ipatikane radio iwe na kipindi chenye content kama alichokuwa anakifanya Steve Kabuye a.k.a kafire the cruuuise! hapo wangenibamba hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni jambo zuri, lakini its better vipaji vipya vikuzwe kama wanavofanya EA Radio, kina Kennedy, Mammy na sasa Queen fifi, walikuwa hawajulikani kabisa, hii gombania gombani wakongwe wengi hawana jipya basi tu focus ya media ni kupata matangazo kwa wasikilizaji kufata majina
 
Tena afadhali tumekumbana hewani vipi kuhusu Paul James na Fred Fidelis? Nakutegemea kwa hilo..
hahahahaha habari za mjini ni nyingi kuhusu hawa jamaa nini kimewakumba, ila tunachuja habari ili tuje na habari sahihi, ila nazani kwa kuisikiliza redio ile kama unatazma kwa jicho la tatu jibu utakuwa ushapata
 
Back
Top Bottom