Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nyoko. Boko haram wanapigania uhuru upi?
Hauna akili kijana....
Kumbe wapigania uhuru ni Magaidi..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna akili kijana....
Kumbe wapigania uhuru ni Magaidi..?
Kwa hiyo watu wa Medina wanakuja huku kuhiji.kwenye uislamu hakuna aliye bora kwa kuzingatia rangi au taifa, ubora wa mtu ni uchamungu na tabia njema, huenda muislamu aliye iringa tz (christian dominant area) akawa bora zaidi ya muislamu aliyeko madina ikiwa tu wa iringa anafuata sheria na maagizo ya uislamu kulingana na mafundisho yanavyosema.
We paka hujui unaloongea, hao wa madina wapo wanafundisha waislamu weusi, na pia wao wanafundishwa na waislamu kutoka Afrika kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha.Kwa hiyo watu wa Medina wanakuja huku kuhiji.
Kiufupi wasaudia huwachukulia waislam ambayo siyo waarab kama vile ni ziada ktk dini kwakuwa wengi walisilimu kwa Jihad. Ni kama vile wayahudi wanavyowachukukia wakristo kama vile hatujui dini. Mambo ndo yako hivyo
Kingine hijja haifanyiki madina, ni Makkah na wanakwenda hijja Makka si waafrika pekee hata waarabu na wazungu waislamu wanatoka kwenye nchi zao na kwenda Makkah, ni sehemu ya nguzo za dini sio sehemu ya utalii kama ilivyo vatican....Kwa hiyo watu wa Medina wanakuja huku kuhiji.
Kiufupi wasaudia huwachukulia waislam ambayo siyo waarab kama vile ni ziada ktk dini kwakuwa wengi walisilimu kwa Jihad. Ni kama vile wayahudi wanavyowachukukia wakristo kama vile hatujui dini. Mambo ndo yako hivyo
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.
Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.
Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.
Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.
Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.
Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.
Hata hivyo kwa nyakati kadhaa wakili Peter Madeleka ameitahadharisha jamii na hasa wanahabari kuandika taarifa za kiuchunguzi za uongo zinazopelekelea waislam kuteseka na kuumizwa na kunyang'anywa mali.
Angalia clip hii hasa kuanzia dkk ya 7
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=r6qSCzYwU5qL6llP
Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.
Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.
Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.
Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.
Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.
Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.
Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.
Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.
Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.
Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.
Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.
Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.
Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.
Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.
Kwani taarifa sahihi anazo Azory.
Sasa mtu akisema Allahu akbar ndiyo muislam? Namna hii ni kama ilivyojengeka vichwani mwa wa Tanzania kuwa kila anayevaa kanzu na kujivisha kilemba ni muislam.Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
We paka hujui unaloongea, hao wa madina wapo wanafundisha waislamu weusi, na pia wao wanafundishwa na waislamu kutoka Afrika kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha.
Na kwenye uyahudi hapo umekosea sanaa, kwanza kama ulikuwa haufahamu ama umeongopewa kanisani basi jua kama ifuatavyo, wayahudi hawana mapenzi na ukristo, fuatilia madhila yanayowasibu wakristo wa Israel au palestina kutoka kwa wayahudi, lakini kingine usichokijua kutokana na ujinga wako ni kuwa wayahudi walitaka kumuua yesu na wafuasi wake enzi hizo, najua kuwa we si msomi mzuri wa biblia nataka nikuchukulie ushahidi wa uadui wa wayahudi dhidi ya wafuasi wa yesu kutoka kwenye moja ya nyimbo nzuri za injili za wakati huo, inaitwa nimeokoka, kuna beti inasema
"mtume petro kwa kuogopa wayahudi, alikataa kuwa yeye si mwanafunzi wa yesu,,"
wewe si mkristo halisi, wewe ni mfuasi wa madhehebu ya kizungu ambayo yenyewe ni sehemu ya kutengeneza propaganda na ideology ili mutawalike kirahisi, wakristo halisi wanapatikana Misri, Ethiopia, na mashariki ya kati, nyie wa Afrika ni sehemu ya tawi la wahuni wa magharibi.
Nenda kasome biblia ndio utajua ukweli we upo wapi????
Kumuita mwenzio paka kwa sababu ya kutofautiana mtazamo si jambo jemaWe paka hujui unaloongea, hao wa madina wapo wanafundisha waislamu weusi, na pia wao wanafundishwa na waislamu kutoka Afrika kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha.
Na kwenye uyahudi hapo umekosea sanaa, kwanza kama ulikuwa haufahamu ama umeongopewa kanisani basi jua kama ifuatavyo, wayahudi hawana mapenzi na ukristo, fuatilia madhila yanayowasibu wakristo wa Israel au palestina kutoka kwa wayahudi, lakini kingine usichokijua kutokana na ujinga wako ni kuwa wayahudi walitaka kumuua yesu na wafuasi wake enzi hizo, najua kuwa we si msomi mzuri wa biblia nataka nikuchukulie ushahidi wa uadui wa wayahudi dhidi ya wafuasi wa yesu kutoka kwenye moja ya nyimbo nzuri za injili za wakati huo, inaitwa nimeokoka, kuna beti inasema
"mtume petro kwa kuogopa wayahudi, alikataa kuwa yeye si mwanafunzi wa yesu,,"
wewe si mkristo halisi, wewe ni mfuasi wa madhehebu ya kizungu ambayo yenyewe ni sehemu ya kutengeneza propaganda na ideology ili mutawalike kirahisi, wakristo halisi wanapatikana Misri, Ethiopia, na mashariki ya kati, nyie wa Afrika ni sehemu ya tawi la wahuni wa magharibi.
Nenda kasome biblia ndio utajua ukweli we upo wapi????
Tatizo lenu ni kuwa haya mambo mnataka waislam wayasolve mnavyotaka nyinyi. Wengi wenu hamuijui historia ya Uislam ndio maana unaandika kama hivyo. Hawa watu wachache wamekuwa wakijitokeza mara kwa mara kuzisumbua jamii za kiislam na watawala wao tokea zamani. Katika Uislam wanafahamika kama Khawaarij. Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alitabiri kudhihiri kwao na amewaita mbwa wa motoni. Vimeandikwa vitabu na kutahadharishwa pote hili tokea zamani na kila pote hili ovu linapodhihirisha kichwa chake kiovu katika sura mbali mbali tofauti, basi wanachuoni waliosimama sawa hulitahadharisha na kupambana nalo.Me nadhani ndugu zangu mnaoshikamana na imani ya kiislam ni wakati sasa wa kuwaumbua na kujitenga mbali na hawa wanavikundi
Hakuna watu wanaowapiga vita kielimu hawa kuliko waislam waliosimama sawa katika njia ya Salaf. Wakina Osama Bin Laden wametahadharishwa kabla hujawajua wewe kupitia CNN. Na sasa al-hamdulillah wanachuoni na walinganizi wanaowapinga hawa kielimu sauti yao inaenea miongoni mwa waislam.Nina walaumu kwanza ninyi sababu ninyi wenyewe hampo mstari wa mbele kukemea jambo ambalo linadhalilisha imani yenu
Ni kwa sababu wanaokemea katika wasio waislam wengi wao hawafanyi kwa uadilifu bali hulenga kuupiga vita Uislam kwa kichaka cha kuwapinga magaidiila bado inapotokea iman zingine zimakemea ninyi ndio mtakuja juu juu kama moto wa gesi.
Ni kwa sababu hufuatilii ndio maana unasema waislam wanakaa kimya.Kimsingi ukikalia kimya jambo maana au tafasiri yake ni kuwa unaliunga mkono na halikupi shida.
Ugaidi si uislamu ila upo ugaidi ambao unajishikisha na uislamu kwa watu kutumia dini kujipatia fedha, rasilimali, mamlaka na kadhalika. Why mnawachekea hawa why hakuna maandiko, waraka au makemeo ya kuwaumbua?
Mbona mnaandika sana kumhusu mnyama kitimoto kumponda mbona hamuandiki maandiko marefu kuhusu tabia mbaya ya hawa wahalifu wanaotumia uislam kama chaka la uovu wao?
Hebu mjitathimini na kujitafakari. Haya mambo yakomeshwe.
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.
Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.
Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.
Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.
Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.
Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.
Hata hivyo kwa nyakati kadhaa wakili Peter Madeleka ameitahadharisha jamii na hasa wanahabari kuandika taarifa za kiuchunguzi za uongo zinazopelekelea waislam kuteseka na kuumizwa na kunyang'anywa mali.
Angalia clip hii hasa kuanzia dkk ya 7
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=r6qSCzYwU5qL6llP
Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.
Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.
Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.
Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.
Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.
Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.
Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.
Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.
Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.
Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.
Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.
Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.
Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.
Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.
Kwani taarifa sahihi anazo Azory.
Ugaidi uko mbali na Uislam na ni kweli kuna juhudi za kuuchafua Uislam kwa kutumia jina la ugaidi. Ila wapo watu wenye fikra ovu za kikhawaarij ambao wapo tokea zamani huko wakidhihiri na kupotezwa zama kwa zama. Mara wanaibuka mara wanapotea. Kwa zama hizi watu wenye fikra hizo za kikhawaarij (ambao tokea zamani wamekuwa wakiwalenga waislam na watawala wao) wanatumika (wengine kwa kujua na wengine bila ya kujua) kusukuma agenda za baadhi ya mataifa ili kuzivamia nchi za kiislam na kupora rasilimali zao.
Ila al-hamdulillah wanapigwa vita kielimu na waislam wasiojua au wasioelewa katika zama zetu wanaeleweshwa na kubainishiwa upotovu wa fikra za kikhawaarij.
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.
Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.
Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.
Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.
Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.
Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.
Hata hivyo kwa nyakati kadhaa wakili Peter Madeleka ameitahadharisha jamii na hasa wanahabari kuandika taarifa za kiuchunguzi za uongo zinazopelekelea waislam kuteseka na kuumizwa na kunyang'anywa mali.
Angalia clip hii hasa kuanzia dkk ya 7
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=r6qSCzYwU5qL6llP
Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.
Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.
Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.
Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.
Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.
Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.
Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.
Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.
Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.
Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.
Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.
Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.
Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.
Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.
Kwani taarifa sahihi anazo Azory.
Mkuu, kwa dunia hii ya kisasa ya utandawazi na ukweli, bado tu unawaamini masheikh na wachungaji? Pole sana.Khawarij ni nini.
Je sheikh Ponda, masheikh wa uamsho, sh Ilunga Marhum. Kuna mashekhe walikamatwa kilwa mmoja akiwa mzima na akaachiwa akiwa hana jicho. Mwengine alinyolewa ndevu kwa kibiriti. Kuna sheikh arusha waliokamatwa akiwa na miguu yake 2 na kuwekwa mahabusu miaka 10. Juzi kachiwa huru akiwa na mguu mmoja. Pesa zake zaidi ya mil 7 kaporwa.
Je ktk orodha ya mashekhe hawa kwa mfano na mashekhe wengine wa waliokamatwa au ktk familia zilizoathiriwa na Sheria ya ugaidi. Je tunaweza ni khawarij.
Kana ikiwezekana kuwafikia hao kikhawaarij ktk makazi yao tuwaulize dodoso zipo zinayowalazimu kufikiria kwenda msumbiji au somalia kujiunga kambi za ugaidi.
Napenda tujadili dodoso na ktk dodoso hivyo zije na fact kuwa ni kweli Waislamu wanastahiki wao tu kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi
Kukashifu/kejeli/ comedy ni sehemu ya uhuru wa Liberal democracy, kwenye za kidemokrasia wata wana haki na uhuru wa kufanya hivyo.Huenda sijapata mantiki ya andiko lako.
Na huenda sababu ni mbili.
Unataka waislam wapinge, waandamane na watoe matamko ya kujitenga na waandamanaji wa Denmark wakini hutaki wakristo wapinge na wasijinasibishe na wanaokashifu Uislamu ambao si wakristo bali ni Atheism (wapagani).
PaganismUpagani inaitwaje kwa kimombo