Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Kwa hiyo watu wa Medina wanakuja huku kuhiji.
Kiufupi wasaudia huwachukulia waislam ambayo siyo waarab kama vile ni ziada ktk dini kwakuwa wengi walisilimu kwa Jihad. Ni kama vile wayahudi wanavyowachukukia wakristo kama vile hatujui dini. Mambo ndo yako hivyo
 
We paka hujui unaloongea, hao wa madina wapo wanafundisha waislamu weusi, na pia wao wanafundishwa na waislamu kutoka Afrika kama ulikuwa hujui ndo nakufahamisha.

Na kwenye uyahudi hapo umekosea sanaa, kwanza kama ulikuwa haufahamu ama umeongopewa kanisani basi jua kama ifuatavyo, wayahudi hawana mapenzi na ukristo, fuatilia madhila yanayowasibu wakristo wa Israel au palestina kutoka kwa wayahudi, lakini kingine usichokijua kutokana na ujinga wako ni kuwa wayahudi walitaka kumuua yesu na wafuasi wake enzi hizo, najua kuwa we si msomi mzuri wa biblia nataka nikuchukulie ushahidi wa uadui wa wayahudi dhidi ya wafuasi wa yesu kutoka kwenye moja ya nyimbo nzuri za injili za wakati huo, inaitwa nimeokoka, kuna beti inasema
"mtume petro kwa kuogopa wayahudi, alikataa kuwa yeye si mwanafunzi wa yesu,,"
wewe si mkristo halisi, wewe ni mfuasi wa madhehebu ya kizungu ambayo yenyewe ni sehemu ya kutengeneza propaganda na ideology ili mutawalike kirahisi, wakristo halisi wanapatikana Misri, Ethiopia, na mashariki ya kati, nyie wa Afrika ni sehemu ya tawi la wahuni wa magharibi.
Nenda kasome biblia ndio utajua ukweli we upo wapi????
 
Kingine hijja haifanyiki madina, ni Makkah na wanakwenda hijja Makka si waafrika pekee hata waarabu na wazungu waislamu wanatoka kwenye nchi zao na kwenda Makkah, ni sehemu ya nguzo za dini sio sehemu ya utalii kama ilivyo vatican....
 
Nikweli sio propaganda
 
Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
Sasa mtu akisema Allahu akbar ndiyo muislam? Namna hii ni kama ilivyojengeka vichwani mwa wa Tanzania kuwa kila anayevaa kanzu na kujivisha kilemba ni muislam.

Mnabidi muwe na fikra pana sana kuzifahamu dini za wengine.
 
 

Attachments

  • tapatalk_1513794795968.jpeg
    55.7 KB · Views: 2
Kumuita mwenzio paka kwa sababu ya kutofautiana mtazamo si jambo jema
 
Me nadhani ndugu zangu mnaoshikamana na imani ya kiislam ni wakati sasa wa kuwaumbua na kujitenga mbali na hawa wanavikundi
Tatizo lenu ni kuwa haya mambo mnataka waislam wayasolve mnavyotaka nyinyi. Wengi wenu hamuijui historia ya Uislam ndio maana unaandika kama hivyo. Hawa watu wachache wamekuwa wakijitokeza mara kwa mara kuzisumbua jamii za kiislam na watawala wao tokea zamani. Katika Uislam wanafahamika kama Khawaarij. Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alitabiri kudhihiri kwao na amewaita mbwa wa motoni. Vimeandikwa vitabu na kutahadharishwa pote hili tokea zamani na kila pote hili ovu linapodhihirisha kichwa chake kiovu katika sura mbali mbali tofauti, basi wanachuoni waliosimama sawa hulitahadharisha na kupambana nalo.

Nyinyi mmeanza kuwajua hawa kupitia propaganda za vyombo vya habari vya magharibi na mataifa yao kuanzia miaka ya karibuni wakitumika kuuchafua Uislam na kusukuma agenda za mataifa ya kimagharibi pale mashariki ya kati na mataifa ya Kiislam yenye utajiri.

Lakini kupingwa wanapingwa kielimu tokea zamani. Na wanapoleta vurugu na kumwaga damu za watu wasio na hatia watawala wanawapiga kisawa sawa.

Na mpaka sasa wanapingwa hasa na wanachuoni na walinganizi wa kisalaf. Na waislam wasiojua wanaelimishwa kuhusu pote hili potovu.


Nina walaumu kwanza ninyi sababu ninyi wenyewe hampo mstari wa mbele kukemea jambo ambalo linadhalilisha imani yenu
Hakuna watu wanaowapiga vita kielimu hawa kuliko waislam waliosimama sawa katika njia ya Salaf. Wakina Osama Bin Laden wametahadharishwa kabla hujawajua wewe kupitia CNN. Na sasa al-hamdulillah wanachuoni na walinganizi wanaowapinga hawa kielimu sauti yao inaenea miongoni mwa waislam.
ila bado inapotokea iman zingine zimakemea ninyi ndio mtakuja juu juu kama moto wa gesi.
Ni kwa sababu wanaokemea katika wasio waislam wengi wao hawafanyi kwa uadilifu bali hulenga kuupiga vita Uislam kwa kichaka cha kuwapinga magaidi
Kimsingi ukikalia kimya jambo maana au tafasiri yake ni kuwa unaliunga mkono na halikupi shida.
Ni kwa sababu hufuatilii ndio maana unasema waislam wanakaa kimya.

Kimsingi hawa makhawaarij targets zao kuu ni waislam katika zama zote wanazozidhihiri.
 


Ugaidi uko mbali na Uislam na ni kweli kuna juhudi za kuuchafua Uislam kwa kutumia jina la ugaidi. Ila wapo watu wenye fikra ovu za kikhawaarij ambao wapo tokea zamani huko wakidhihiri na kupotezwa zama kwa zama. Mara wanaibuka mara wanapotea. Kwa zama hizi watu wenye fikra hizo za kikhawaarij (ambao tokea zamani wamekuwa hasa wakiwalenga waislam na watawala wao) sasa wanatumika (wengine kwa kujua na wengine bila ya kujua) kusukuma agenda za baadhi ya mataifa ili kuzivamia nchi za kiislam na kupora rasilimali zao.

Ila al-hamdulillah wanapigwa vita kielimu na waislam wasiojua au wasioelewa katika zama zetu wanaeleweshwa na kubainishiwa upotovu wa fikra za kikhawaarij.

Hivyo ni kweli Uislam unapigwa vita na makafiri kwa sasa kwa kutumia jina la ugaidi. Lakini kuna watu wenye fikra za kikhawaarij wanatumika kusukuma hili. Fikra za kikhawaarij lazima zipigwe vita (kama zilivyopigwa vita tokea zamani). Na al-hamdulillah zinapigwa vita kielimu. Maadui wa Uislam kwa sasa wanawatumia watu wenye fikra za kikhawaarij kuupiga vita Uislam na nchi za Kiislam kutokea ndani au wao wanakuja kutokea nje kwa madai ya kupambana na ugaidi.
 

Khawarij ni nini.

Je sheikh Ponda, masheikh wa uamsho, sh Ilunga Marhum. Kuna mashekhe walikamatwa kilwa mmoja akiwa mzima na akaachiwa akiwa hana jicho. Mwengine alinyolewa ndevu kwa kibiriti. Kuna sheikh arusha waliokamatwa akiwa na miguu yake 2 na kuwekwa mahabusu miaka 10. Juzi kachiwa huru akiwa na mguu mmoja. Pesa zake zaidi ya mil 7 kaporwa.

Je ktk orodha ya mashekhe hawa kwa mfano na mashekhe wengine wa waliokamatwa au ktk familia zilizoathiriwa na Sheria ya ugaidi. Je tunaweza ni khawarij.

Kana ikiwezekana kuwafikia hao kikhawaarij ktk makazi yao tuwaulize dodoso zipo zinayowalazimu kufikiria kwenda msumbiji au somalia kujiunga kambi za ugaidi.

Napenda tujadili dodoso na ktk dodoso hivyo zije na fact kuwa ni kweli Waislamu wanastahiki wao tu kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi
 
Hapana, HAKUNA propaganda yeyote dhidi ya Waislam. Ni hivi, Waislam wengi ambao hawajasoma who are the mojority by the way, hawapendi kuambiwa ukweli na hawataki tu kusoma ili kujuwa ukweli, bado wanaishi katika dunia ya giza. Ukiwa mnafiki na Muislam umekwisha, ukiwa mchawi na muislam, umekwisha, ukiwa na roho mbaya na muislam umekwisha. Tabia zote nilizotaja hapo juu zinaendana na Uislam, kwa hiyo ugaidi ni moja kati ya nguzo ya kishujaa kwenye Uislam kwani hata Muddy aliwaamuru magaidi wake waendelee kuua tu kisa eti Mungu wao (Allah) hapendi watu wasio Waislam, Mungu yupi huyo wakati Uislam ulikuja tu miaka mingi baadaye sana wakati Ukristu na Judaism ulishashamiri mashariki ya kati, mbona Mungu hajawaambia Wakristu kuua Mabedui (Waarab koko jamii ya Muddy)? Kwa kifupi, Uislam ni kundi tu la wahuni fulani likimtania Mungu.
 
Mkuu, kwa dunia hii ya kisasa ya utandawazi na ukweli, bado tu unawaamini masheikh na wachungaji? Pole sana.
 
Kukashifu/kejeli/ comedy ni sehemu ya uhuru wa Liberal democracy, kwenye za kidemokrasia wata wana haki na uhuru wa kufanya hivyo.
Atheism sio upagani au wapagani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…