Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Ni ngumu kutenganisha uislamu na ugaidi
Kama kuna ukweli hivi
 
Azory Gwanda... inasikitisha sana. Hata sijui familia yake inaishije! Mungu awasaidie.
 
Kwanini watu waipiganie dini badala ya dini kujipigania?
 
Cha ajabu yeye ndio aliyejimaliza ndio uone ukubwa wa mungu sasa hivi amegeuka na kuwa criminal yeye na genge lake
Dunia nzima imemkataa hadi european union wanafikiria kumuwekea vikwazo na ameyaweka maisha ya jews duniani kote hatarini huku meli zikipata shida hata kupeleka bidhaa israel ,mungu ana njia zake
Hata farao alikuwa kiburi hivi hivi ila mwisho wa siku mungu atabaki kuwa mungu na udhalimu una malipo mabaya sana na anguko lake limeshaanza kuonekana
 
naona akili yako nzito, nakwambia ni rahisi mtu yoyote kujinasibu kuwa ni muislamu akiwa na agenda zake mwenyewe
 
Kwamba watu hawauani kisa dini??Boko Haram na Ant Balaka ni story tu??
una uhakika gani kwamba boko harama ni waislamu? Unajua kwamba isis wanajifanya ni waislamu ila cha ajabu hata kusali tu hawajui ? Acheni kuamini kila kitu mnachoambiwa na mzungu tumieni akili zenu
Unajua kwamba waislamu duniani kote wakisali wanaelekea kibla ila angalia hawa mazuzu wa isis wakisali huku kila mtu akielekea anapojua yeye, ujinga mtupu
 

Attachments

  • Screenshot_20240531-182340_Chrome.jpg
    260.3 KB · Views: 5
kwa hiyo nembo ni mtu kusema Mungu ni mkubwa ? basi kwa kiarabu ndio muislamu .

Nataka kuona hapa kundi la kigaidi limeenda Mecca kuhij ndio nitaamini , hawa hata kule hawafiki πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Unajuaje kama hawaendi kuhiji? kwani wewe unayo orodha yenye majina ya wanachama wa hivyo vikundi vya kigaidi? Ili tujue nani alienda hija na nani hajaenda hija? Au hija watu wanaenda kwa majina ya vikundi wanavyo vitumikia?
 
K
Nimeona hiyo clip. Kilichotokea na walichoandika ni mbingu na ardhi.

Ni hivi terror ni vitisho kikichotokea ktk vurugu hizo ukienda soko la tandale au mchinga utashuhudia kila baada ya nusu saa. Watu kushikana na kusukumana. Lkn how do u know kuwa si michezo ya Hollywood

Any way mi hoja yangu ni NI MAGAIDI WENYEWE WANAJIFUNGAMANISHA, NI WAISLAM WENYEWE WANAJIFUNGANISHA NA UGAIDI KUWA KWAO NI IBADA NA UISLAM AU WAANDISHI WA HABARI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UISLAM NA UGAIDI
 
Hujanielewa au una jambo lako,Nigeria Kuna Kundi la wakristo Ant Balaka,na waislam Boko Haram wanapigana,ukikubali sawa,usipokubali sawa,

Jihad ilikua vita ya Nini??

sanctum bellum(Holy Wars) hujasoma??
 
Amejimaliza wapi na ndiyo anawafyeka magaidi wa Hamas kwa speed ya 5G.
 
Magaidi wanaundwa kwa lengo la kuchafua uislamu, Muislamu wa kweli hawezi fanya tukio la kuangamiza wasio na hatia.

Wengi wameamini propaganda na kukubali kuwashutumu waislamu kwa kusikiliza habari za kwenye vyombo vya habari, vyombo ambavyo ukichunguza kwa undani unagundua wamiliki wake ndyo haohao wanao tengeneza makundi feki ya kigaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…