Nashukuru tunajadiliana kwa utulivu na kuelimishana. Ukiniuliza Mimi kwanini ni mkristo jibu sahihi la kwanza ni kwasababu nimezaliwa kwenye ukristo. Na wewe jibu sahihi ni kwasababu umezaliwa kwenye uislam. Hapo sijakuuliza. Ila waislamu wengi sijajua wewe, ukiwauliza kwanini ni waislamu wataanza kukwambi Mtume Mohamed,... alipofanya vile,. Hayo ni matokeo ya uliyomezeshwa kichwani kuanzia una miaka 3 unaanza kuongea, ndo maana kuna shule za magaidi mashariki ya kati wanachukua watoto yatima wakiwa wadogo, wanaishi kambini wakilishwa na kunywa bure, ila kila siku wanafundishwa wamarekani wabaya, na wakristo hawafai kuishi duniani. Akiwa mkubwa akatumwa kwenda kuua kwa njia yoyote hata kuchinja hajiulizi mara mbili. Kwahiyo msingi wa dini zote ni amani, lakini tofauti ni kwamba mkristo mwenye Imani kali Hana madhara kwenye jamii sanasana kama ni mke,mme au ndugu utaboreka sababu muda mwingi yupo kanisani na kwenye mikesha ya kuomba na kazi hafanyi. Ila muislam mwenye Imani kali hafai popote Duniani hata uarabuni siku hizi hawawataki maana kuchinja na kuanzisha ughaidi ni dakika yoyote akili yake ikivurugwa. Umeelewa hizo tofauti!???