Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Kunipatia ushahidi wa haya nitamfata paulo badala ya yesu...... "Na ajabu kuna dhambi kwenye kitabu chao cha dini wanaelekeza kuchinja kama kuku, kupiga mtu mawe hadi kufa"

Ni hivi ndugu; ukristo na uislam ni dini mbili za utani wa jadi.

Ninyi mnaitwa makafiri lkn si sahihi.

Utani sahihi wa ukweli tulipaswa kuitana "Washirikina".

Kwasababu ninyi mnamshirikisha Mungu kagawanyika mmoja kwa watatu. Mushrik.

Lkn kuna waislam wanamshirikosha mumgu kwa kufanya mazingaombwe kuwatisha watu.

Wote ni washirikina.

Aliye bora ni wale akina sisi tulionyooka. Na kupiga vita aina zote za ushirikina.

Kwa hakika makafiri ni Atheism, Wapagani wenye kuamini Ujamaa, Umarx. Kwani Ujamaa ni imani. Imani ya kipagani.

Kwa ufupi wafuasi wa Ujamaa ndio makafiri
Nashukuru tunajadiliana kwa utulivu na kuelimishana. Ukiniuliza Mimi kwanini ni mkristo jibu sahihi la kwanza ni kwasababu nimezaliwa kwenye ukristo. Na wewe jibu sahihi ni kwasababu umezaliwa kwenye uislam. Hapo sijakuuliza. Ila waislamu wengi sijajua wewe, ukiwauliza kwanini ni waislamu wataanza kukwambi Mtume Mohamed,... alipofanya vile,. Hayo ni matokeo ya uliyomezeshwa kichwani kuanzia una miaka 3 unaanza kuongea, ndo maana kuna shule za magaidi mashariki ya kati wanachukua watoto yatima wakiwa wadogo, wanaishi kambini wakilishwa na kunywa bure, ila kila siku wanafundishwa wamarekani wabaya, na wakristo hawafai kuishi duniani. Akiwa mkubwa akatumwa kwenda kuua kwa njia yoyote hata kuchinja hajiulizi mara mbili. Kwahiyo msingi wa dini zote ni amani, lakini tofauti ni kwamba mkristo mwenye Imani kali Hana madhara kwenye jamii sanasana kama ni mke,mme au ndugu utaboreka sababu muda mwingi yupo kanisani na kwenye mikesha ya kuomba na kazi hafanyi. Ila muislam mwenye Imani kali hafai popote Duniani hata uarabuni siku hizi hawawataki maana kuchinja na kuanzisha ughaidi ni dakika yoyote akili yake ikivurugwa. Umeelewa hizo tofauti!???
 
Laptop yangu iko mbali ningekuwekea video ya maghaidi wa Msumbiji wanauwa wanashangilia na kumtaja Allah na Mohammad S.W.
Kama mnaona ughaidi ni kitu kinachotia doa uislam basi acheni au waambieni waislam wenzenu waache kuutumia uislam au kumtaja mtume wenu wakiwa wanatenda unyama ule.
 
Punguani wewe. unaona babu zako wanaondoka na hawarudi hujiulizi kwanini wakifa hawarudi? akili ulipewa ambazo umetafautishwa na myama sio za kulewa tu. ni akili za mazingatio ya kuumbwa kwako. utumie akili kwa kunywea pombe tu
Yawezekana ukawa wewe ndio PUNGUANI ila kwasababu umemezeshwa UJINGA tangu ukiwa mdogo huwezi kuelewa tofauti. Ungekuwa umezaliwa India ungekuwa unaabudu ng'ombe, ungezaliwa China ungekuwa huna ujinga mwingi uliojaza kichwani. Kufa na kitorudi ni nature ndo maana wengine wanakufa siku hiyohiyo wengine wanazaliwa. Kwahiyo kwa akili yako timamu unaamini kuna mtu anayekufa anaenda kupewa mabikra 72!??,nijibu kwa kutumia akili zako (common sense),sio ujinga uliokaririshwa tangu ukiwa mtoto..
 
watabisha sana lakini huu ndo ukweli. Hawa viumbe hawafatishi sunna zoooote kwenye kitabu chao zaidi ya kuoa wake wanne🤣
Watazini, wataiba wataua ila ikifika suala la kuoa watakwambia Mtume kaagiza🤣

Kazi ipo
IMG_7206.png
 
Punguani wewe. unaona babu zako wanaondoka na hawarudi hujiulizi kwanini wakifa hawarudi? akili ulipewa ambazo umetafautishwa na myama sio za kulewa tu. ni akili za mazingatio ya kuumbwa kwako. utumie akili kwa kunywea pombe tu
Huna fact wewe,wa hindu,wa budha,wa shinto....wasio amini yesu wala mtume wa waislam wao wakifika wanaenda wapi mzee
 
Laptop yangu iko mbali ningekuwekea video ya maghaidi wa Msumbiji wanauwa wanashangilia na kumtaja Allah na Mohammad S.W.
Kama mnaona ughaidi ni kitu kinachotia doa uislam basi acheni au waambieni waislam wenzenu waache kuutumia uislam au kumtaja mtume wenu wakiwa wanatenda unyama ule.
Wangekuwa na akili timamu wasingeanzisha hata hizi threads, ila Kuna mafundisho huwa wanafundishwa wakiwa wadogo huwa yanawaondolewa upeo wa kufikiri(thinking capacity), akili zinahamishiwa kwenye Imani. Ndo maana Inventors(waanzilishi) wa vitu vingi sio rahisi kukuta muislam. Ubunifu na Imani ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Nashukuru tunajadiliana kwa utulivu na kuelimishana. Ukiniuliza Mimi kwanini ni mkristo jibu sahihi la kwanza ni kwasababu nimezaliwa kwenye ukristo. Na wewe jibu sahihi ni kwasababu umezaliwa kwenye uislam. Hapo sijakuuliza. Ila waislamu wengi sijajua wewe, ukiwauliza kwanini ni waislamu wataanza kukwambi Mtume Mohamed,... alipofanya vile,. Hayo ni matokeo ya uliyomezeshwa kichwani kuanzia una miaka 3 unaanza kuongea, ndo maana kuna shule za magaidi mashariki ya kati wanachukua watoto yatima wakiwa wadogo, wanaishi kambini wakilishwa na kunywa bure, ila kila siku wanafundishwa wamarekani wabaya, na wakristo hawafai kuishi duniani. Akiwa mkubwa akatumwa kwenda kuua kwa njia yoyote hata kuchinja hajiulizi mara mbili. Kwahiyo msingi wa dini zote ni amani, lakini tofauti ni kwamba mkristo mwenye Imani kali Hana madhara kwenye jamii sanasana kama ni mke,mme au ndugu utaboreka sababu muda mwingi yupo kanisani na kwenye mikesha ya kuomba na kazi hafanyi. Ila muislam mwenye Imani kali hafai popote Duniani hata uarabuni siku hizi hawawataki maana kuchinja na kuanzisha ughaidi ni dakika yoyote akili yake ikivurugwa. Umeelewa hizo tofauti!???
Huyo hawezi kuelewa.. umetumia njia rahisi ya kumuelewesha ila hawezi kuelewa sababu lengo lake sio kueleweshwa ila ni kupingana na ukweli wowote ngoja uone
 
Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
HIyo ni kitu rahisi sana hukumbuki wale waiarael walikamatwa ufaransa na passport za syria wakiwa na mabomu na passport zao zina majina ya kiislamu, hivi wangwfanikiwa kufanya waloyafanya dunia nzimq ingesema ni waislamu wewe huwezi kwani kusema allahu akbar? Kama biden alihojiwa akajibu inshaallah nani atashindwa kusema allahu akbar
Pili kuna huyu dada aliyejifanya anafuga nyoka na kujifanya muislamu na buibui lake na kujipa jina la kiislamu, bila mama gwajima kukomaa nae wote tungejua muislamu, dunia imebadilika sana unatakiwa utumie akili siyo kufuata mkumbo na kuamini kila uonacho kwenye tv
 
Anyway speaking from fact ..

ulisikia wapi magaidi wana sema "praise the lord uku wakiwa na panga" au "Halllelujah" uku wana mtutu..

sina maana muslim ni ma gaidi hapana ... maana ata wa kristo wana vigund uko west africa .. ila wengi wapewe

siku sikia "Allah Akhabar" kwa public afu kaa apo apo you will understand wat we talking about ,[emoji23][emoji23]

"it is what it is "

nothing personal .. free view
 
Nashukuru tunajadiliana kwa utulivu na kuelimishana. Ukiniuliza Mimi kwanini ni mkristo jibu sahihi la kwanza ni kwasababu nimezaliwa kwenye ukristo. Na wewe jibu sahihi ni kwasababu umezaliwa kwenye uislam. Hapo sijakuuliza. Ila waislamu wengi sijajua wewe, ukiwauliza kwanini ni waislamu wataanza kukwambi Mtume Mohamed,... alipofanya vile,. Hayo ni matokeo ya uliyomezeshwa kichwani kuanzia una miaka 3 unaanza kuongea, ndo maana kuna shule za magaidi mashariki ya kati wanachukua watoto yatima wakiwa wadogo, wanaishi kambini wakilishwa na kunywa bure, ila kila siku wanafundishwa wamarekani wabaya, na wakristo hawafai kuishi duniani. Akiwa mkubwa akatumwa kwenda kuua kwa njia yoyote hata kuchinja hajiulizi mara mbili. Kwahiyo msingi wa dini zote ni amani, lakini tofauti ni kwamba mkristo mwenye Imani kali Hana madhara kwenye jamii sanasana kama ni mke,mme au ndugu utaboreka sababu muda mwingi yupo kanisani na kwenye mikesha ya kuomba na kazi hafanyi. Ila muislam mwenye Imani kali hafai popote Duniani hata uarabuni siku hizi hawawataki maana kuchinja na kuanzisha ughaidi ni dakika yoyote akili yake ikivurugwa. Umeelewa hizo tofauti!???
Ndiyo maana Benjamin Netanyahu ameamua kuziba masikio safari hii ahakikishe anawafyekelea mbali wale magaidi wa Hamas. Walipoishambulia Israel October 2023 Waislam walishangilia sana na kuwasifu sasa ngoja wanyooshwe popote wanapojificha iwe hospitalini,msikitini,kanisani watapiga huko huko.
 
Hee hata inshallah nayo mnaimiliki kumbe duh!??

Je hawa huwa wanasingiziwa? Maana umetoa mifano isiyo na uhalisia. Kwani muisraeli hawezi kuwa muislamu?

Boko Haram, officially known as Jamā'at Ahl as-Sunnah lid-Da'wah wa'l-Jihād (Arabic: جماعة أهل السنة للدعوة والجهاد, lit. 'Group of the People of Sunnah for Dawah and Jihad'), is an Islamist jihadist organization based in northeastern Nigeria, which is also active in Chad, Niger, northern Cameroon, and Mali.
Wikipedia, the free encyclopedia › wiki › B...
Boko Haram - Wikipedia

Back
Top Bottom