Iraq marekani, Yemen Marekani huko source ni MagharibiSudan, Yemen, Syria, Iraq and the like Nako vipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iraq marekani, Yemen Marekani huko source ni MagharibiSudan, Yemen, Syria, Iraq and the like Nako vipi??
Ukiristo na USHOGA?usilam n ugaidi
Sio Sahihi kuingiza JF kwenye andiko lako, mangapi unaandika na JF inayakubali? Nashauri endelea na mada yako kuliko kuingiza JF kwenye propaganda zakoKuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala
Mimi mtaalam wa mitandao najua vizuri Mod wanavyocheza ktk mitandao kama hiiSio Sahihi kuingiza JF kwenye andiko lako, mangapi unaandika na JF inayakubali? Nashauri endelea na mada yako kuliko kuingiza JF kwenye propaganda zako
MAANDIKO YA KORAN YANAYOHAMASISHA UGAIDI:-Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam
Weka hiyo nukuu, mimi siifahamu. Usitowe maneno yako tu. Tazama mfano mimi nanukuubiblia ukristo unafundisha nini hapa:Uislamu unafundisha kwamba mtu akihama uislamu tu auwawe.
Sasa hayo sio mafundisho ya kuua mtu ?
Upo ndani hya Jf halafu unashangaa ikitajwa?Sio Sahihi kuingiza JF kwenye andiko lako, mangapi unaandika na JF inayakubali? Nashauri endelea na mada yako kuliko kuingiza JF kwenye propaganda zako
Dini yenyewe. Mwanzilishi ndie muasisi wa haya yoteKuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.
Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.
Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.
Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.
Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.
Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.
Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.
Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.
Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.
Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.
Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.
Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.
Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.
Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.
Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.
Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.
Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.
Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.
Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.
Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.
Kwani taarifa sahihi anazo Azory.
Shida nyingine ni kwamba Waislamu huwa hamuandamani kupingana nao. Mfano sijasikia mkiandamana kupinga kuwa Boko haram hawatetei Uislamu, au IS hawatetei Uislamu kama amabvyo huwa mnaandamana watu wakimkashifu mtume au pale watoto wanaobishana kwamba akichana Quran atakufa na mwingine akaichana.Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.

ufe ukiwa mkiristo halafu uone maisha yako huko uendako
Tuletee aya katika biblia inayoruhusu ushoga??Ukiristo na USHOGA?
naona malaria ishapanda kichwaniUkiristo na USHOGA?
KUMBE? Mseme nyinyi wakisema wengine mnakasirika?naona malaria ishapanda kichwani
Umeandika mengi lkn yote Pumba, halafu pengine serekali imetumia pesa zake kukusomesha mtu kama wewe , hasara kwa taifa na kwa familia yakoKwani akienda motoni wewe utakosa wewe utakosa pepo au ni vipi?
Mana Kwenye uislam ni wazi kuwa hakuna mtu anayechukua dhambi ya mtu mwingine?
Ukiwasikiloza wanazuoni wa kiislmu utaweza kudhani kuwa uislam unawahamasisha watu kuhusu maisha ya ahera zaidi lakini ukweli ni kwamba uislam unapigania maisha ya dunia zaidi kuliko ya ahera.
Na mbaya zaidi Waarabu wamefanikiwa sana kuwadanganya watu kuwa ukifa ukiwa unapigania mila zao na dini yao utaenda peponi. Lakini hii dhana inachochewa zaidi kwa maskini lakini matajiri na watawala kamwe hawajitoi kufa kwa ajili ya dini ya uislam badala yake wanapambania maslahi yao yaa kiuchumi na kisiasa. Ukimuona mtawala au mfanyabiashara wa dini ya kiislam mwenye mrengo na itikadi za kidini mara nyingi anachochea na hata kutoa mapesa mengi kwa vijana maskini ili wajitoe muhanga lakini sio watoto wake wala yeye mwenyewe ,sasa tunajiuliza inamaana yeye hataki kwenda peponi kula raha kubwa kuliko za dunia !!
Kifupi ni kwamba dhana ya ugaidi na ugaidi inatengenezwa na watawala na matajiri wa dunia kwa malengo ya kisiasa na biashara zao.
Hakuna kijana anayetokea familia maskini anayeweza kumiliki Silaha za moto kama SMG , rocket launcher, hand grenade, pistol , na risasi kwa maelfu na kukaa porini akiwa anafundishwa mbinu za kivita.
Ni wazi kuwa nyuma yake kuna watu wenye nguvu za kisiasa na kiuchumi.
Na kama ni ishu zisizohuisiana na uislama basi tungeona vijana hao wakiwa watu wa dini tofauti kama inavyokua kwenye uhalifu mwingine kama ujambazi.
Na ukichunguza zaidi utahundua kuwa sehemu zote zenye ugaidi kuna kuwa na matajiri wa kubwa sana wanye asili ya Asia . Hawa mara nyingi ndio wanaotumika kupokea na kusambaza fedha na zana za kigaidi kwa magaidi.
Uislam sio ugaidi ila Bado kuna mivutano mikubwa ya kiuchumi kati ya nchi za magharibi na nchi za Kiarabu katika kuteka uchumi na soko la Afrika Kinachofuata ni Wazungu kutumia mbinu za mauaji ya kisayansi kupitia wanasiasa na wataalam kwenye masuala ya madawa nk. Lakini Waarabu wanatumia mbinu za kubadili waafrika wengi kufuata itikadi zao ,mila zao na dini zao .Na kuwajenga kisaikolojia kuwa katika itikadi za dini maisha yatakua mazuri na ya haki kwa kila mtu wa dini inayofanana na ya kwao . Kwa sasa waafrika wanalengwa zaidi kutokana na ukosefu wa ajira na elimu duni na umaskini na kukosekana kwa Demokrasia ya kuchagua viongozi bora kwa kufuata sera za kitaifa . Ndio maana wakati mwingine kunapokaribia uchaguzi unagundua kuwa panakua na kampeni zinazogubikwa na hisia za kidini na maneno makali ya kuchochea na kutishana yote ni kwa manufaa ya wanasiasa na matajiri kutoka nje.
JPM alidhibiti ugaidi kwa kuzuia pesa zote kutoka nje kwa sababu kwa kipindi kirefu palikua na mapesa mengi sana yaliyokuwa yanaletwa kutoka nje ya nchi.
Msingi wa Ugaidi ni Chuki zinazotokana na itikadi za kidini ndani ya siasa kwa dhana potofu na tafsiri potofu za kidini.
Mfano tunaonewa kwa sababu sisi ni wa dini fulani wakati huo huo karinu nusu ya wanye nafasi za juu serikalini ni wa dini hiyo hiyo . Sasa unajiuliza hapa hoja ni dini kweli au kuna jambo lingine nyuma yake ? Ishu inakua ni madaraka na maslahi binafsi na dini ni chambo tu kilichotumiwa ili kupata uungwaji mkono.
Dunia imejaa watu wenye kiburi mithili ya Shetani ambaye alidhani kuwa yeye anapemdwa na Mwemyezi Mungu kuliko wemgine wote kutokana na kushika sana dini matokeo yake akafeli mtihani mdogo sana wa kumsujudia Adam.
Hata leo kuna watu wanaojiona kuwa wao pepo ni ya kwao kwa sababu tu eti wana swali sana au wanafunga sana au wanahiji sana.
Wameshahu Rehema za mwenyezi Mungu ni kwa kila anayejinyenyekesha mbele ya Mwenyezi Mungu.
Pepo ameiandaa Mungu mwenyewe halafu tunaigombania na kuuana ili kuipata wakati hatijui hata gharama ilipo na ilivyojengwa na gharama zake .
Shida nyingine ni kwamba mu huwa hamuandamani kupingana nao. Mfano sijasikia mkiandamana kupinga kuwa Boko haram hawatetei Uislamu, au IS hawatetei Uislamu kama amabvyo huwa mnaandamana watu wakimkashifu mtume au pale watoto wanaobishana kwamba akichana Quran atakufa na mwingine akaichana.
Hili ndilo linafanya wengine wadhani watakuwa Waislamu na mnakubaliana nao.
Uko tayari contaminated na uongo uliotengenezwa.Dini yenyewe. Mwanzilishi ndie muasisi wa haya yote
Umetoa ayah 2:191.MAANDIKO YA KORAN YANAYOHAMASISHA UGAIDI:-
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Jf si kichaka cha upuuzi na uzushi.Sio Sahihi kuingiza JF kwenye andiko lako, mangapi unaandika na JF inayakubali? Nashauri endelea na mada yako kuliko kuingiza JF kwenye propaganda zako
Kwanza umejipa jina la mtu mbaya kujinasibisha. Sijui kama na wewe ni mpagani tena ulio na uhakika kuwa Mungu hayupo, baada ya wayahudi kumuua yesu. Friedrich anasema, yesu (mungu) kama alivyofundishwa alikuwa hai na alionekana kabla ya kauwawa. Lkn kwasasa hayupo. Na kama kina mwenye ushahidi wa uwepo wake atuonyeshe. Ndio muashilishi wa hii ndana ya Usekula akimaanisha mungu kauwawa.usilam n ugaidi