Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

Kenya 2022 General Election
Wakili wa Chadema aliyewasaidia akina Lema kukimbilia Canada Wajackoya kaambulia kura elfu Kumi hadi sasa kwenye kura za uraisi
Kumbuka wengine wanajua hawawezi kushinda lakini wanachotaka ni CV tu
 
Hakuwatuma mnunuliwe na lowassa.

Miaka nenda rudi Ccm inashinda ila mlivyo wapuuzi mnamlalamikia mtu mmoja tu na sio mfumo uliomuweka huyo mnayemuita kichaa
Yule kichaa na Mahera ndio walileta ile aibu!
 
Halafu mzee Kikwete eti ndie ameenda kusimamia uchaguzi wa haki hapo Kenya!,binafsi nipo hapa Lwegu (kwa muda)na matokeo nayaona live!,nani ameliorate gharama zake pale Kenya?,na waangalizi wa nini?kila kitu kipo wazi
 
Kenya ni majirani zetu ila wako mbali sana, Wana haki ya kupata maendeleo
Uchumi wa Kenya ni karibu mara 2 ya huu wa Tanzania. Huu uchaguzi unathibitisha kwa nini wametuzidi kwa kiasi kikubwa namna hiyo
 
Vipi wewe chama chako cha Chadema kinaonaje kinapofeli kila mwaka wa uchaguzi ??!!
 
Wapinzani wenyewe njaa sana ,wepesi kuzira kususa bado sana kuwafikia wakenya
Bila shaka unamaanisha Mbowe, Lipumba, Mbatia, Zitto, nk yotr hayo weka kapu moja "matumbocracy"
 
Jamhuri ya Watu wa Kenya imekuwa nchi ya kutolea mfano baada ya Ghana.
 
Kenya ndio baba wa demokrasia East Africa now.
 
Naizungumzia Chadema ninayoijua na Tishio kamili la ccm
 
Hivi ni kweli hujasikia kuwa kuna mtu kapigwa risasi ya kichwa na mgombea hadi akafa! Toa sifa stahiki bila kupitiliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…