Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Kweli we mtaalamu sana.umenikumbusha mbali niliwah kuwekewa bonge la jiwe nikalibutua sits sahau ngoz ya kidole gumba ikatoka pamoja na ukucha nililia sana isitoshe niliporud nyumban tu nikafinywa kwa uzembe na kurud usiku.
 
Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaja unaitwa mafichoni kuulizwa mchumba ako nani!!! Basi na aibu tele unamnong'oneza "danhosnoop"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daa Matoto ya saiv ni kama mabroila.na washavutiwa na mambo ya kisasa kama kuspend muda wote ktk tv
 
Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.
Nakumbuka mtaani kwetu ilikuwa tushinde ama tufungwe lazima tuondoke na mpira wa wenzetu.. Kuna siku wakatutegea wakaja na mabroo zao kidogo tule kichapo... Komborela sie ilikuwa kucheza moda flani hivi kuanzia saa moja hapo mtu akizinga ujue ndo imekula kwako manake watu wanaweza wakazamia kwenda kwao we bado upo unazinga tu...ukirudi kwenu umechelewa bakora... Afu kuna sarakasi..hii kama we mtoto wa kiume afu hujui sarakasi unaitwa dada.. Sarakasi mnatumia tairi ya scania kurukia.. Enzi hizo kulikuwa na michezo mingi mno... Afu ile umeme ukatike sasa ukirudi mtaa mzima unaskia :hhuuuuoooooo.....watu wanapiga madebe kabisa kushangilia umeme..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaja unaitwa mafichoni kuulizwa mchumba ako nani!!! Basi na aibu tele unamnong'oneza "danhosnoop"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah. Nyie mlitisha sana. Kwa kweli mimi honey moon nimekuja kuijua ukubwani
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakaka walikua wanapenda kuona wadada wanapiga sarakasi! Si sketi au gauni zinafunuka basi wanaona chupi na kufurahi!!!
 
Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.
Hata Sijui wameingiliwa na mdudu gani kichwani labda huu utandawazi watoto wanashinda wakicheza game na tv.

Michezo hii inakuza mshikamano na upendo bila kusahau afya ya akili.
 
Na afya ya mwili pia, ile kimbia kimbia ilikua inatuweka fit
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaja unaitwa mafichoni kuulizwa mchumba ako nani!!! Basi na aibu tele unamnong'oneza "danhosnoop"
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unakumbuka mkuu
 
Kama nakuona yani enzi hizo, bila shaka vigauni "spesheli" vilikuhusu sana [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] spesheli za kanisani mkuu!!! Tena zipo kabatini kwa mama, unapewa jumapili asubuhi, ukirudi unazirudisha
 
Hahahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ukirudi unazirudisha. Nimecheka kwa nguvu
 
Sa ole wako jichanganye huko Sunday school ashikilimu iwe imedondokea??? Wee! Hicho kichambo chake nyumbani utajutraa
 
Hahahahahaa, nimekumbuka ashikilimu za ukwaju na za ubuyu. Ashikilimu 1 wanaeza megewa watu hata 8. Utoto bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utoto mtu unanunua bigijii, kabla hata hujapokea toka kwa muuza duka tayari marafiki zako 10 washanyoosha mikono kuomba... Sasa huo mgao wake!!! Mpaka kila mtu anapata! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…