danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu itakua ulikua 'unababuliwa' mapema tuuNjia nzuri ni ile ya kuchagua. Viongozi wawili wa timu wanapokezana kuchagua... Sasa hapo ndo unajua uhodari wako. Kulikua na watu wanakataliwa adi huruma! Mi walikua wananikataa kwenye rede [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ukijipeleka kwao sasa hiyo aibu yake utakavyo fukuzwa na kusukumizwa... "Toka kwetu" [emoji34]Walikua wanajua mtu lazima ubembeleze urafiki kwake. Ole wako uwe na kitu afu umnyime, utaskia na usije kwetu [emoji23] [emoji23]
Yaani! Sifiki ata kumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu itakua ulikua 'unababuliwa' mapema tuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ukipendelewa sana utaangalia tv huku umekaa zako chiniUkijipeleka kwao sasa hiyo aibu yake utakavyo fukuzwa na kusukumizwa... "Toka kwetu" [emoji34]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28] [emoji28] [emoji28] ukipendelewa sana utaangalia tv huku umekaa zako chini
Hahahahaaa, ndo maana ulikua unabaki mwisho mkuu. Kuna wengine walikua mafundi hawababuliwi mpaka wanaokoa wenzaoYaani! Sifiki ata kumi
Daah kuna waliokua wanaruka kama ndama isee!!! Watu wanapiga sarakazi kukwepa mpira. Kuna mmoja alikua akiamua anadaka mpira wala hakosei.Hahahahaaa, ndo maana ulikua unabaki mwisho mkuu. Kuna wengine walikua mafundi hawababuliwi mpaka wanaokoa wenzao
Hahahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yalikua yanaitwa 'machejo'Daah kuna waliokua wanaruka kama ndama isee!!! Watu wanapiga sarakazi kukwepa mpira. Kuna mmoja alikua akiamua anadaka mpira wala hakosei.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]'machejo'
KombolelaKama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni;
1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na bunduki ya mabomba ya mipapai.
2. Komborela
3. Mpira huku magoli yakiwa ndala au mawe.
Je, wewe ulikuwa unapenda michezo gani?
Naukumbuka ilikuwa mnachagua mti au mahali pa kukimbilia kushika kama ukiangusha kijiti sasa unakuta unachagulia mti wa mbali balaa.. Sasa ukiangusha kijiti kile usiombe watu wakudake... Mpaka uufikie mti kichwa kinauma..kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
Sisi kulikua na ma madimbwi yana kambare, ukirudi nyumbani mwili wote umejaa tope na kambare wako. Alafu tunakamata vile sijui vichura vidogo tunafuga tunadhani samakiUtotoni nlikua napenda pia kufuga samaki na kuuza. Enzi hizo kulikua na samaki kama gapi, texido, zebra, gulam, red, gold n.k. Am sure waliowahi kufuga samaki watakua wanajua haya majina
Ichezwe saa ngapi akati watoto wenyewe tunao humu JF? Miaka hii mtoto wa primary tayari ana smart phone.Hivi michezo ya utotoni ile zamani saizi inachezwa kweli? Utamaduni unapotea
Kula mbakshie baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.