Kizazi cha 1995 wewePlay Station.
Kizazi cha 1995 wewe
we wa geti kaliPlay Station.
Hilo linaitwa VCOP mambo ya sega hayo....Mi nilikuwa ni mtoto wa games tu
Need for speed
Beach head
Game lingine jina nimelisahau hivi nakumbuka ulikua unaua maadui katika meli unawamaliza then katika treni ili usave watu wema(jina nimelisahau)
Game lingine la kuendesha ndege nalo nimesahau jina lake
Na Euro truck
Kizazi cha 1995 wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo style tulikua tunaiita kije, yani kijembe. Nlikua nkipiga hiyo lazima ntoe banju
Itabidi nilitafute tena nikumbushie enziHilo linaitwa VCOP mambo ya sega hayo....
Mkuu ningekuwa naweza ungenipa na mie
Hilo linaitwa VCOP mambo ya sega hayo....
Hahahahaha,View attachment 474250View attachment 474251
Kama kuna alie icheza michezo hii, akuje pm tuyajenge.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kuna ile mstari kati, mateka [emoji23][emoji23][emoji23]rede ya wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kweli!!! Yaani jinsia zote mnajikuta kwenye rede ya wote [emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nafeel shame unapokutana na yule ambaye mlichezaga wote huo mchezoo then jinsia tofauti asee huwa namkwepaga kaisaa
Kwenye mchezo wa kuchezesha basi unaombeaje sahani/kikombe kivunjike??? Alafu ndo upate ile ya rangirangi na triangle eti ndo mdada...Aiseee mimi utotoni nimecheza michezo yote. Kujipikilisha, baba mama, kuchezesha vitoto, kombolela, dama, senta, namsaka mke wangu, kucheza mabunduki, mpira kombe ikiwa pakti moja ya karang. My favourite play ulikua GOROLI mpaka leo nikiwaona watoto wanacheza natamani namm niombe namba