Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 584
PS.....Huyu atakua Wakishua [emoji4]Play Station.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PS.....Huyu atakua Wakishua [emoji4]Play Station.
Daaaah mimi tumebadilishana nguo sana na wasichana wakat wa kombolela za usiku nimemissKwenye mchezo wa kuchezesha basi unaombeaje sahani/kikombe kivunjike??? Alafu ndo upate ile ya rangirangi na triangle eti ndo mdada...
Mdako, full kukuta mashimo uwanjani, au ndani sakafu imechorwa na mkaa au kokoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ule wimbo wa kuhusu maboga (kitu kama hicho), mnabong'oa alafu mwenye mwimbishaji anakuja kubonyeza makalio kutafuta lililoiva. Wakaka walikua wanapenda kuimbisha aisee!
Alafu kuna ule mdako wanatumia kikopo cha mafuta ya mgando... Unamwaga alafu unaanza kuingiza kama moja moja au mbili mbili... Sikumbuki unaitwajeNilikuwaga napend kucheza mdako
"Chama cha mapinduzi, kinaitwaje, kinaitwaje?
Alafu limpate la uso... Utasikia "Yalaaaaaaaa"... Ukilia maumivu wanakuimbiaTena sisi tulikua tunaweka mchanga kdgo kwenye mpira ssa hapo ukimbabua mtu tu anaanza kulia
Nakumbuka tulimfungisha ndoa mdogo angu na jirani na wakavalishana pete tumetengeneza na majani. Neti ndo tukatumia kama shela [emoji23][emoji23][emoji23]. Baada ya ndoa kuna kakibanda tulijenga na miti eti wakaingia huko no honeymoon...Halafu mnajenga na kakibanda kaungo na kweli huku pembeni kukiwa natuvyombo twakujipikilisha ilikuwa ninoma aisee
noma sana ulikuwa hutaki kupoteza chance
Au kucheza kwenye mvua... Niliteseka na nyungunyungu utotoni! Alafu enzi hizo hamna cha kumeza vidonge kama saivi... Mama anachukua kiwembe ana chanja chanja alipopita nyungunyungu na kutia ndimu na chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuogelea kwenye mabwawa ukirudi home mtu umepauka hatari wazazi wakishajua kichapo chake utajuta yani.
yani imebidi nisome twice ndio nikaelewa ulichokiandika duu.
Basi vibonge ilikua inakula kwao... Hamna wa kubadilishana nao nguoDaaaah mimi tumebadilishana nguo sana na wasichana wakat wa kombolela za usiku nimemiss
Hahaaa inaonyesha naww ulikua bonge la hodar kwenye hiyo michezoBasi vibonge ilikua inakula kwao... Hamna wa kubadilishana nao nguo
Kwa hiyo mpaka leo ni wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au kucheza kwenye mvua... Niliteseka na nyungunyungu utotoni! Alafu enzi hizo hamna cha kumeza vidonge kama saivi... Mama anachukua kiwembe ana chanja chanja alipopita nyungunyungu na kutia ndimu na chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilio chake si cha dunia hiii!
Home tulikuwa tunafikia kipigo kwanza dah[emoji2] [emoji2]Au kucheza kwenye mvua... Niliteseka na nyungunyungu utotoni! Alafu enzi hizo hamna cha kumeza vidonge kama saivi... Mama anachukua kiwembe ana chanja chanja alipopita nyungunyungu na kutia ndimu na chumvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilio chake si cha dunia hiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibonge walikuwa hawana chao kabisa .Basi vibonge ilikua inakula kwao... Hamna wa kubadilishana nao nguo
Nilikua nabadilishana nguo hadi na wanaume!!! Full kumchanganya mzingajiHahaaa inaonyesha naww ulikua bonge la hodar kwenye hiyo michezo
?????Kwa hiyo mpaka leo ni wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Home tulikuwa tunafikia kipigo kwanza dah[emoji2] [emoji2]
Kidali po ulikua mazoezi tosha!!!Kidali po
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sie mzee mpaka alinunua fimbo spesho!
Mitoto tulikua nunda aisee
kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.Kidali po ulikua mazoezi tosha!!!
Au mpira wa chenga.... Kupigana matobo