Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.Kabisa!
Hii michezo saizi imepotea kabisa.
Mimi nimecheza karibia michezo yote,ukuti ukuti,Baba na mama,kombolera,"Senta",kubwa zaidi ambalo halitafutika kwa ubongo wangu-Nikiwa na miaka kama sita hivi tulifungishwa ndoa mimi na binti mmoja (kwakweli alikuwa anamuonekano uliobora na wakuvutia) ilifanyika sherehe moja matata sana ambayo ilipangwa na rika letu tu, mimi na suti na yeye na shela haha Mtaa mzima ulizizima mpaka watu wazima walipigwa na butwaa.
AISEE nikiikumbuka siku hii huwa nacheka mwenyewe moyoni,binti huyo hata Sijui yuko wapi Manaake Familia zilitawanyika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu kulikua na ule "kioo kioo, alikivunja nani, wa mwisho akamatwe, atiwe gerezani"
Na mwingine uliokua unachezwa sana ulikua ni ule "nivunje kikombe nsivunje?" Watu vunjaaaaa...
Mwenzenu Paprika...
Watu: enheeeeeee
Mchumba akeeee
Watu: enheeeeee
Ni danhosnoop......
Watu: weweeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka mtaani kwetu ilikuwa tushinde ama tufungwe lazima tuondoke na mpira wa wenzetu.. Kuna siku wakatutegea wakaja na mabroo zao kidogo tule kichapo... Komborela sie ilikuwa kucheza moda flani hivi kuanzia saa moja hapo mtu akizinga ujue ndo imekula kwako manake watu wanaweza wakazamia kwenda kwao we bado upo unazinga tu...ukirudi kwenu umechelewa bakora... Afu kuna sarakasi..hii kama we mtoto wa kiume afu hujui sarakasi unaitwa dada.. Sarakasi mnatumia tairi ya scania kurukia.. Enzi hizo kulikuwa na michezo mingi mno... Afu ile umeme ukatike sasa ukirudi mtaa mzima unaskia :hhuuuuoooooo.....watu wanapiga madebe kabisa kushangilia umeme..Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaja unaitwa mafichoni kuulizwa mchumba ako nani!!! Basi na aibu tele unamnong'oneza "danhosnoop"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah. Nyie mlitisha sana. Kwa kweli mimi honey moon nimekuja kuijua ukubwaniNakumbuka tulimfungisha ndoa mdogo angu na jirani na wakavalishana pete tumetengeneza na majani. Neti ndo tukatumia kama shela [emoji23][emoji23][emoji23]. Baada ya ndoa kuna kakibanda tulijenga na miti eti wakaingia huko no honeymoon...
Mpaka leo dogo ana uhusiano wa kipekee na huyu binti, sijui waliendelezaga honeymoon!!!?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nakumbuka mtaani kwetu ilikuwa tushinde ama tufungwe lazima tuondoke na mpira wa wenzetu.. Kuna siku wakatutegea wakaja na mabroo zao kidogo tule kichapo... Komborela sie ilikuwa kucheza moda flani hivi kuanzia saa moja hapo mtu akizinga ujue ndo imekula kwako manake watu wanaweza wakazamia kwenda kwao we bado upo unazinga tu...ukirudi kwenu umechelewa bakora... Afu kuna sarakasi..hii kama we mtoto wa kiume afu hujui sarakasi unaitwa dada.. Sarakasi mnatumia tairi ya scania kurukia.. Enzi hizo kulikuwa na michezo mingi mno... Afu ile umeme ukatike sasa ukirudi mtaa mzima unaskia :hhuuuuoooooo.....watu wanapiga madebe kabisa kushangilia umeme..
Hata Sijui wameingiliwa na mdudu gani kichwani labda huu utandawazi watoto wanashinda wakicheza game na tv.Yaani saivi mitaa kimya!!! Enzi hizo kunakua na mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana au rede kwa wasichana. Watoto mnafunga safari mpaka mtaa wa kumi huko.... Sa mkishinda hizo fujo zake akati mnarudi!!! Adi raha.
Na afya ya mwili pia, ile kimbia kimbia ilikua inatuweka fitHata Sijui wameingiliwa na mdudu gani kichwani labda huu utandawazi watoto wanashinda wakicheza game na tv.
Michezo hii inakuza mshikamano na upendo bila kusahau afya ya akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unakumbuka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kutaja unaitwa mafichoni kuulizwa mchumba ako nani!!! Basi na aibu tele unamnong'oneza "danhosnoop"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi ndo umenikumbusha yote haya. Ata sikujua kua bado yapo akilini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unakumbuka mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo mpaka leo ni wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha mbali aiseeeee!!kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
Kama nakuona yani enzi hizo, bila shaka vigauni "spesheli" vilikuhusu sana [emoji3][emoji3][emoji3]Huu uzi ndo umenikumbusha yote haya. Ata sikujua kua bado yapo akilini.
[emoji23][emoji23][emoji23] spesheli za kanisani mkuu!!! Tena zipo kabatini kwa mama, unapewa jumapili asubuhi, ukirudi unazirudishaKama nakuona yani enzi hizo, bila shaka vigauni "spesheli" vilikuhusu sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ukirudi unazirudisha. Nimecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23] spesheli za kanisani mkuu!!! Tena zipo kabatini kwa mama, unapewa jumapili asubuhi, ukirudi unazirudisha
Sa ole wako jichanganye huko Sunday school ashikilimu iwe imedondokea??? Wee! Hicho kichambo chake nyumbani utajutraaHahahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ukirudi unazirudisha. Nimecheka kwa nguvu
Hahahahahaa, nimekumbuka ashikilimu za ukwaju na za ubuyu. Ashikilimu 1 wanaeza megewa watu hata 8. Utoto bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa ole wako jichanganye huko Sunday school ashikilimu iwe imedondokea??? Wee! Hicho kichambo chake nyumbani utajutraa
Utoto mtu unanunua bigijii, kabla hata hujapokea toka kwa muuza duka tayari marafiki zako 10 washanyoosha mikono kuomba... Sasa huo mgao wake!!! Mpaka kila mtu anapata! [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa, nimekumbuka ashikilimu za ukwaju na za ubuyu. Ashikilimu 1 wanaeza megewa watu hata 8. Utoto bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]