Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Uko vzr sana mkuu, big up kwa moyo huo, umekuwa teacher hpa, nilijiunga baada ya kuwa inspired na ww.
Hahahaha hongera sana mkuu, wewe ndiye uliyeanzisha uzi, michango yake ilikuvutia zaidi au ana Uzi aliofungua kuelezea haya? Walakini huu ni Uzi Bora sana na ni kama unajitosheleza kabisa... kwenye elimu ya uwekezaji huu.

Mkuu, hata wewe ubarikiwe mno kwa uzi huu na namna ambavyo imekuwa ukijibu maswali ya wadau, hakika umefanya vizuri sana mkuu.

Big up sana!!!
 
Kweli kabisa, mimi kupitia uzi huu nimeweza kuelewa uwekezaji haswa kwenye hii mifuko ya utt. Mimi kwasasa huu ndio Uzi wangu pendwa.
 
Kweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zao
 
Haaaa nashukuru sana pia kuu kwa recognition yako, ujue nilikuwa nina kahela kamelala tu bank na mara nyingine wanakakata, nikawazaaaa hapo hapo huwa napenda sana kusoma vitabu so nikakutana na madini flan kutoka kwa Robert kiyosaki (rich dad) pamoja na (George clason the richest man ni babilon) ambao waliongelea sana huu mfumo so nikawaza hvi kwa hapa tz hakuna system kama hii? Nikakutana na hii utt japo nilikuwa siijui inafunction vp, so nikapata wazo la kuleta huu uzi na namshukuru sna hyu mwamba niliemquote hapo juu ambae ndie amekuwa among of our teacher humu through his responses.
 
Hongera sana mkuu, ujue haya mambo tumefichwa sana mpk tufukue fukue hvi ndo tunapata mwanga wa kinachoendelea, bt in reality watu wanapiga sana pesa kwenye hii issue kimya kimya.
 
Kweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zao
Hongera mkuu, kama alivyosema mwamba mmoja hapo juu, ukipata buku kumi tupia kule, ishirini kule, sahau kwa mda then njoo utashangaa hazina yako itakavyoongezeka.
 
Toka.jana nilianza kufuatilia Jambo hili, ila naomba kueleweshwa,Mbona bei za vipande vya Mfumo wa Umoja ni Sh 813.2333 * na Liquid ni Sh 114.3441*.

Halafu hizi bei zinaposimeka hivi mfano 805.3333 hii namba inamaanisha ni laki au ni 800 na namba baada ya nukta ni senti?
 
Mfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12
Samahani kiomgozi ameuliza mfano kama anazo Sh 5ml awekeze wapi ndiyo kuzuri, sasa kwenye majibu yako hapa naona umeanza kusema awekeze kwenye Mfuko wa Umoja ndiyo nzuri kisha ukarudia tena kama ana Sh 5+ ml awekeze Bond account.
Hapa naomba twende taratibu Kwa Sh 5ml Umoja atapataje na akiweka Bond itakuwaje?
 
Toka.jana nilianza kufuatilia Jambo hili, ila naomba kueleweshwa,Mbona bei za vipande vya Mfumo wa Umoja ni Sh 813.2333 * na Liquid ni Sh 114.3441*.

Halafu hizi bei zinaposimeka hivi mfano 805.3333 hii namba inamaanisha ni laki au ni 800 na namba baada ya nukta ni senti?
Mkuu
Hizo nukta ni desimali. Hivyo bei (net asset value per unit) ziko katika mamia na sio malaki.

Mifuko ina bei mbalimbali kwa vile ilianza kwa nyakati tofauti.

Umoja ndio ulikuwa mfuko wa kwanza kuanzishwa kwa bei ya sh 100 kwa kipande, ambayo imekua taratibu hadi hiyo zaidi ya 800 sasa. Ukuaji huo ndio kinachovutia wawekezaji.

Mfuko wa Liquid ulianza baadaye sana kulinganisha na umoja, nao ukaanza na bei ya 100. Bei yake pia inaendelea kukua.

Mfuko wa bond ukiufuatilia kukua kwa bei yake ni polepole zaidi. Hii ni kwa sababu mwekezaji wake analipwa kila mwezi (au kila miezi sita kama amechagua hivyo), hivyo sehemu kubwa ya faida kuliwa reguraly badala ya kukuza uwekezaji.

Hizo bei hazimaanishi mfuko moja una faida kuliko mwingine, la hasha. Kuchagua kwako mfuko kuendane tu na lengo lako la kuwekeza.
 
Mifuko yote ni mizuri na interest rate zao karibu zinalingana. Mfuko mzuri wa kujiunga nao inategemea malengo yako.

Kwa mfano kama unataka kuwekeza akiba kwa muda mrefu, huku ukiiongezea pole pole nayo ikijikuza taratibu - Umoja itakufaa.

Lakini iwapo una pesa nyingi za kuweka kwa muda fulani na unaweza kuzitoa anytime, Liquid inakufaa. Hii ni mbadala mzuri wa fixed deposit za benki, ila yenyewe haina fixed time.

Iwapo umepata fedha nyingi na unataka zikae mahali ule polepole, kwa mfano viinua mgongo vya wastaafu - bond fund inakufaa.

Ukitaka kuweka akiba kusomeshea watoto baadaye - kuna watoto fund

nk.

Naamini ukienda ofisini kwao watakupa maelezo ya kina zaidi, maana mimi natumia tu personal experience.
Naomba kuuliza mfano nimeweka akiba yangu nikaicha Kwa Muda flan

1) naweza kutoa kias na kiasi kingine kikasalia ?
2) Ukitoa akiba yako yote unaruhusiwa kuweka tena?
 
Haaaa nashukuru sana pia kuu kwa recognition yako, ujue nilikuwa nina kahela kamelala tu bank na mara nyingine wanakakata, nikawazaaaa hapo hapo huwa napenda sana kusoma vitabu so nikakutana na madini flan kutoka kwa Robert kiyosaki (rich dad) pamoja na (George clason the richest man ni babilon) ambao waliongelea sana huu mfumo so nikawaza hvi kwa hapa tz hakuna system kama hii? Nikakutana na hii utt japo nilikuwa siijui inafunction vp, so nikapata wazo la kuleta huu uzi na namshukuru sna hyu mwamba niliemquote hapo juu ambae ndie amekuwa among of our teacher humu through his responses.
Mkuu big up sana kwa madini, hata Mimi naweza kusema...bila kupitia hivyo vitabu viwili ulivyovitaja, inawezekana nisingeifungia hata huu uzi, hakika ni vitabu Bora sana as far as personal finance in concerned. Paying yourself first...lo..mkuu safi sana.

Ahsante sana tumejifunza mengi mno.
 
Back
Top Bottom