Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Hivi navyoongea ndo natoka ofsi za UTT- Amis kufanya further inquiries juu ya uwekezaji huu.

Nimepata kufahamu mambo mengi japo mengine tayari yapo kwenye ufafanuzi mzuri wa ndugu yetu pmwasyoke lakini kuna mambo zaidi nimepata kujifunza na hapa nitaongeza mambo machache

1. Reliability ya uwekezaji; UTT-Amis ipo chini ya Wizara ya fedha kwa hiyo ni sem-government Organ. Hii binafsi imenipatia confidence zaidi ya kuweka kiasi kikubwa cha pesa.

2. Mifuko ya: Umoja, Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto na mfuko wa kujikimu inaunganishwa na soko la hisa hivyo faida yake huwa ina fluctuate

3. Mifuko ya ukwasi na Bond haiathiriwi na soko la hisa kwani mifuko hii haijaingizwa kwenye soko la hisa

4. Kutoa pesa kutoka ukwasi na bond inachukua siku 10

5. Wekeza maisha mwisho ni kwa watu wenye miaka 55 tu. Huu mfuko umeambatanishwa na bima ya maisha, ajali, ulemavu wa kudumu na gharama za mazishi

Kwa ujumla nimeona ni sehemu sahihi kwangu ya kuwekeza pesa.

NB: baada ya sherehe za idd nitaenda na wife tufungue
IMG_5852.jpg

.

Nikishaweka mzigo wa 100M nitaleta mrejesho tena.
 
NB: baada ya sherehe za idd nitaenda na wife tufungueView attachment 2208786

Umefanya vema sana kufika ofisini kwao Mkuu.

Hongera sana kwa uamuzi wako wa kuwekeza huko.
 
Kama ingekuwa chakula kwa madini haya ya uwekezaji nathubutu kusema nimekula mpaka nikasaza.

Barikiweni wachangiaji wote, cha kufurahisha zaidi sijaona comments za kejeri na utoto.

Hakika uzi umetendewe haki. Shukurani za pekee kwa mwanzilishi wa huu uzi
 
Mfuko wa liquid Upo kundi gani
 
Kama ingekuwa chakula kwa madini haya ya uwekezaji nathubutu kusema nimekula mpaka nikasaza.

Barikiweni wachangiaji wote, cha kufurahisha zaidi sijaona comments za kejeri na utoto.

Hakika uzi umetendewe haki. Shukurani za pekee kwa mwanzilishi wa huu uzi
Karibu sana mkuu, [emoji120]
 
Habari nime download app ya UTT ila sioni option ya kuchagua mfuko na wala ni ki save details zangu haisave. Naomba msaada hapa. Natumia Iphone
 
Ni kweli haikubali , account unafunguaje kwa kupitia APP?
 
Back
Top Bottom