mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,054
- 585
Nimenunua kwa simu tarehe 11/05/2022 bado haijasoma.
Yangu imesoma leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimenunua kwa simu tarehe 11/05/2022 bado haijasoma.
Yangu imesoma pia, na nimeona balance imeongezeka kidogo, naweka nyingine.Yangu imesoma leo
Mimi hapa nina miamala kama minne haijasoma.Ila leo napo nanunua vipande vigine.Mwendo ni huo huo kanyaga twende.Yangu imesoma pia, na nimeona balance imeongezeka kidogo, naweka nyingine.
Agent wa mikoa isiyo na ofisi za Utt ni CrdbThank you mkuu.Je ofisi zao ziko Dsm tu?
Niko Arusha naomba kujua naweza kuwapata wapi
Sasa kama umeshindwa kuuza hizo hisa za VODA utapataje hizo fedha za Voda kuwekeza Huko UTT?Na ukishajaza hyo fomu ya kuuza vipande ni mpk wafanikiwe kuuza ndo upate pesa zako?? Nauliza hvi coz nina hisa za voda nilinunuaga nikaweka sokoni mpk leo mwaka wa pili hawajafanikiwa kupata wateja.
Arusha UTT wana ofisi zao pale jengo la ngorongoro. Karibu na BOT Arusha.kwenye round about paleAgent wa mikoa isiyo na ofisi za Utt ni Crdb
Arusha UTT wana ofisi zao pale jengo la ngorongoro. Karibu na BOT Arusha.kwenye round about paleThank you mkuu.Je ofisi zao ziko Dsm tu?
Niko Arusha naomba kujua naweza kuwapata wapi
Mkuu rudia kusoma niliyoandika pengine unaweza ukaelewa kinachozungumzwa.Sasa kama umeshindwa kuuza hizo hisa za VODA utapataje hizo fedha za Voda kuwekeza Huko UTT?
Ndio safi mkuu, au sio.Wakuu naona kila siku naona bei ya kuuza inapanda.
Mkuu rudia kusoma niliyoandika pengine unaweza ukaelewa kinachozungumzwa.
Ni kweli inapanda, ni kuendelea kuwekeza.Wakuu naona kila siku naona bei ya kuuza inapanda.
Ndio sababu ya kuzinunua, ndio mvuto wake.Wakuu naona kila siku naona bei ya kuuza inapanda.
Ulikuwa ni mfano tu kwamba kuna baadhi ya secta ukiwekeza kuja kupata hela yako ni mpk hisa zako ziuzwe, bt sio utt. Mfano wake ndo ukawa voda, bt sikusema kuwa nilikuwa nategemea kuuza hizo hisa ndo niingie utt, umeelewa sasa.Umeandika ulikuwa na hisa za VODA umeziweka sokono lakini ni miaka miwili sasa hawajapata mteja wa kuzinunua!!! Sasa kama hawajapata mtu wa kuzinunua maana yake huwezi kupata cash kutokana na hizo hisa za VODA!!! Nadhani utaelewa sasa.
Mkuu haujachelewa, mimi mwenzio nilikuwa najiona nimechelewa ila kwa sasa nimekuwa addicted na UTT kila siku najitahidi kununua vipande.Nauona uzi mzuri huu baada ya kumaliza kuspend 5M kwa matumizi yasiyo ya maana.
Wacha nijipange tena nijiunge japo kwa kianzio kidogo kwanza
Kwa maelezo ya wahusika hapa, huu mfuko wa UTT sio uwekezaji wa kuvuna haraka haraka na kwa wingi, bali uwekezaji salama usio na stress, hivyo faida huwa kidogo kidogo na pole pole.Ni 10M mie nataka tu iongezeke haraka, mfuko gan unanifaa?