Investor 1
Senior Member
- May 4, 2022
- 106
- 206
Thamani ya hisa inaongezeka piaKwa maelezo ya wahusika hapa, huu mfuko wa UTT sio uwekezaji wa kuvuna haraka haraka na kwa wingi, bali uwekezaji salama usio na stress, hivyo faida huwa kidogo kidogo na pole pole.
Kwa mfano, hiyo 10ml ikiweza kuiwekeza kwenye Liquid fund, utakuwa na uhakika wa kuvuna wastani wa shilingi laki moja kila mwezi, huku pesa yako ikiwa iko salama.
Binafsi nimeanza kuuelewa fresh huu mfuko, muda sio mrefu nitajiunga, unanifaa.