Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya vema sana kufika ofisini kwao Mkuu.Hivi navyoongea ndo natoka ofsi za UTT- Amis kufanya further inquiries juu ya uwekezaji huu.
Nimepata kufahamu mambo mengi japo mengine tayari yapo kwenye ufafanuzi mzuri wa ndugu yetu pmwasyoke lakini kuna mambo zaidi nimepata kujifunza na hapa nitaongeza mambo machache
1. Reliability ya uwekezaji; UTT-Amis ipo chini ya Wizara ya fedha kwa hiyo ni sem-government Organ. Hii binafsi imenipatia confidence zaidi ya kuweka kiasi kikubwa cha pesa.
2. Mifuko ya: Umoja, Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto na mfuko wa kujikimu inaunganishwa na soko la hisa hivyo faida yake huwa ina fluctuate
3. Mifuko ya ukwasi na Bond haiathiriwi na soko la hisa kwani mifuko hii haijaingizwa kwenye soko la hisa
4. Kutoa pesa kutoka ukwasi na bond inachukua siku 10
5. Wekeza maisha mwisho ni kwa watu wenye miaka 55 tu. Huu mfuko umeambatanishwa na bima ya maisha, ajali, ulemavu wa kudumu na gharama za mazishi
Kwa ujumla nimeona ni sehemu sahihi kwangu ya kuwekeza pesa.
NB: baada ya sherehe za idd nitaenda na wife tufungueView attachment 2208786
.
Nikishaweka mzigo wa 100M nitaleta mrejesho tena.
Hongera Mungu akusimamie usitoe pesa uwe unaongeza tu at least 3 years uone impact ufanye kitu kikubwa.AmeenNi Umoja mkuu, niliangalia bei.Maana kila siku najitahidi kudunduliza na massage zinazokuja ni bei ya vipande vya Umoja.
yeah inawezekanaMimi nimewekeza Umoja, nikifikisha kiasi fulani cha pesa nitawekeza kwenye Bond.Nakumbuka kuna mdau alisema unaweza kubadilisha mfuko.
ni jambo jema sanaNimehamasika kujiunga nimebakiza miaka kadhaa kustaafu utumishi wa umma hivyo mfuko wa umoja utanifaa nikistaafu naugeuza kuwa bond
Mfuko wa liquid Upo kundi ganiHivi navyoongea ndo natoka ofsi za UTT- Amis kufanya further inquiries juu ya uwekezaji huu.
Nimepata kufahamu mambo mengi japo mengine tayari yapo kwenye ufafanuzi mzuri wa ndugu yetu pmwasyoke lakini kuna mambo zaidi nimepata kujifunza na hapa nitaongeza mambo machache
1. Reliability ya uwekezaji; UTT-Amis ipo chini ya Wizara ya fedha kwa hiyo ni sem-government Organ. Hii binafsi imenipatia confidence zaidi ya kuweka kiasi kikubwa cha pesa.
2. Mifuko ya: Umoja, Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto na mfuko wa kujikimu inaunganishwa na soko la hisa hivyo faida yake huwa ina fluctuate
3. Mifuko ya ukwasi na Bond haiathiriwi na soko la hisa kwani mifuko hii haijaingizwa kwenye soko la hisa
4. Kutoa pesa kutoka ukwasi na bond inachukua siku 10
5. Wekeza maisha mwisho ni kwa watu wenye miaka 55 tu. Huu mfuko umeambatanishwa na bima ya maisha, ajali, ulemavu wa kudumu na gharama za mazishi
Kwa ujumla nimeona ni sehemu sahihi kwangu ya kuwekeza pesa.
NB: baada ya sherehe za idd nitaenda na wife tufungueView attachment 2208786
.
Nikishaweka mzigo wa 100M nitaleta mrejesho tena.
Karibu sana mkuu, [emoji120]Kama ingekuwa chakula kwa madini haya ya uwekezaji nathubutu kusema nimekula mpaka nikasaza.
Barikiweni wachangiaji wote, cha kufurahisha zaidi sijaona comments za kejeri na utoto.
Hakika uzi umetendewe haki. Shukurani za pekee kwa mwanzilishi wa huu uzi
Asante mkuuKaribu sana mkuu, [emoji120]
Umeshafungua akaunti?Habari nime download app ya UTT ila sioni option ya kuchagua mfuko na wala ni ki save details zangu haisave. Naomba msaada hapa. Natumia Iphone
Ni kweli haikubali , account unafunguaje kwa kupitia APP?Habari nime download app ya UTT ila sioni option ya kuchagua mfuko na wala ni ki save details zangu haisave. Naomba msaada hapa. Natumia Iphone
Mimi nilifanikiwa kupitia app sema haikuniuliza nichague aina ya mfukoNi kweli haikubali , account unafunguaje kwa kupitia APP?