Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Hahahaha hongera sana mkuu, wewe ndiye uliyeanzisha uzi, michango yake ilikuvutia zaidi au ana Uzi aliofungua kuelezea haya? Walakini huu ni Uzi Bora sana na ni kama unajitosheleza kabisa... kwenye elimu ya uwekezaji huu.Uko vzr sana mkuu, big up kwa moyo huo, umekuwa teacher hpa, nilijiunga baada ya kuwa inspired na ww.
Kweli kabisa, mimi kupitia uzi huu nimeweza kuelewa uwekezaji haswa kwenye hii mifuko ya utt. Mimi kwasasa huu ndio Uzi wangu pendwa.Hahahaha hongera sana mkuu, wewe ndiye uliyeanzisha uzi, michango yake ilikuvutia zaidi au ana Uzi aliofungua kuelezea haya? Walakini huu ni Uzi Bora sana na ni kama unajitosheleza kabisa... kwenye elimu ya uwekezaji huu.
Mkuu, hata wewe ubarikiwe mno kwa uzi huu na namna ambavyo imekuwa ukijibu maswali ya wadau, hakika umefanya vizuri sana mkuu.
Big up sana!!!
Kweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zaoHahahaha hongera sana mkuu, wewe ndiye uliyeanzisha uzi, michango yake ilikuvutia zaidi au ana Uzi aliofungua kuelezea haya? Walakini huu ni Uzi Bora sana na ni kama unajitosheleza kabisa... kwenye elimu ya uwekezaji huu.
Mkuu, hata wewe ubarikiwe mno kwa uzi huu na namna ambavyo imekuwa ukijibu maswali ya wadau, hakika umefanya vizuri sana mkuu.
Big up sana!!!
Hongera sana mkuu.Kweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zao
Asante mkuu. PamojaHongera sana mkuu.
Hakuna lazima sana ya kufika ofisini kwao iwapo umeshajiunga na unakielewa unachotaka. Labda kama unahitaji ufafanuzi zaidi.
Haaaa nashukuru sana pia kuu kwa recognition yako, ujue nilikuwa nina kahela kamelala tu bank na mara nyingine wanakakata, nikawazaaaa hapo hapo huwa napenda sana kusoma vitabu so nikakutana na madini flan kutoka kwa Robert kiyosaki (rich dad) pamoja na (George clason the richest man ni babilon) ambao waliongelea sana huu mfumo so nikawaza hvi kwa hapa tz hakuna system kama hii? Nikakutana na hii utt japo nilikuwa siijui inafunction vp, so nikapata wazo la kuleta huu uzi na namshukuru sna hyu mwamba niliemquote hapo juu ambae ndie amekuwa among of our teacher humu through his responses.Hahahaha hongera sana mkuu, wewe ndiye uliyeanzisha uzi, michango yake ilikuvutia zaidi au ana Uzi aliofungua kuelezea haya? Walakini huu ni Uzi Bora sana na ni kama unajitosheleza kabisa... kwenye elimu ya uwekezaji huu.
Mkuu, hata wewe ubarikiwe mno kwa uzi huu na namna ambavyo imekuwa ukijibu maswali ya wadau, hakika umefanya vizuri sana mkuu.
Big up sana!!!
Hongera sana mkuu, ujue haya mambo tumefichwa sana mpk tufukue fukue hvi ndo tunapata mwanga wa kinachoendelea, bt in reality watu wanapiga sana pesa kwenye hii issue kimya kimya.Kweli kabisa, mimi kupitia uzi huu nimeweza kuelewa uwekezaji haswa kwenye hii mifuko ya utt. Mimi kwasasa huu ndio Uzi wangu pendwa.
Hongera mkuu, kama alivyosema mwamba mmoja hapo juu, ukipata buku kumi tupia kule, ishirini kule, sahau kwa mda then njoo utashangaa hazina yako itakavyoongezeka.Kweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zao
Samahani kiomgozi ameuliza mfano kama anazo Sh 5ml awekeze wapi ndiyo kuzuri, sasa kwenye majibu yako hapa naona umeanza kusema awekeze kwenye Mfuko wa Umoja ndiyo nzuri kisha ukarudia tena kama ana Sh 5+ ml awekeze Bond account.Mfuko wa Ummmoja ndio utakua mzuri kwako, uzuri sikuhizi una monitor progress ya pesa yako kwenye simu kutumia UTT Amis app, kwahiyo utaona pale pesa yako inavyoongezeka, ila kama una million 5+ ni kheri uweke kwenye bond account, japo pia unaweza kufungua hata mifuko yote ukitaka hakuna limit, na kuhamisha kutoka mfuko mmoa kwenda mwengine ni bure, kama una watoto au wajukuu pia unaweza wafungulia account ya watoto ambayo hataruhusiwa kutoa pesa mpaka afike miaka 12
Sawa chief nitafanya hivyoHongera mkuu, kama alivyosema mwamba mmoja hapo juu, ukipata buku kumi tupia kule, ishirini kule, sahau kwa mda then njoo utashangaa hazina yako itakavyoongezeka.
MkuuToka.jana nilianza kufuatilia Jambo hili, ila naomba kueleweshwa,Mbona bei za vipande vya Mfumo wa Umoja ni Sh 813.2333 * na Liquid ni Sh 114.3441*.
Halafu hizi bei zinaposimeka hivi mfano 805.3333 hii namba inamaanisha ni laki au ni 800 na namba baada ya nukta ni senti?
Kweli kabisa mkuu.Elimu nzuri hii na kama ingetolewa kwa uwazi huku mtaani naimani watu wengi wangewekeza
Naomba kuuliza mfano nimeweka akiba yangu nikaicha Kwa Muda flanMifuko yote ni mizuri na interest rate zao karibu zinalingana. Mfuko mzuri wa kujiunga nao inategemea malengo yako.
Kwa mfano kama unataka kuwekeza akiba kwa muda mrefu, huku ukiiongezea pole pole nayo ikijikuza taratibu - Umoja itakufaa.
Lakini iwapo una pesa nyingi za kuweka kwa muda fulani na unaweza kuzitoa anytime, Liquid inakufaa. Hii ni mbadala mzuri wa fixed deposit za benki, ila yenyewe haina fixed time.
Iwapo umepata fedha nyingi na unataka zikae mahali ule polepole, kwa mfano viinua mgongo vya wastaafu - bond fund inakufaa.
Ukitaka kuweka akiba kusomeshea watoto baadaye - kuna watoto fund
nk.
Naamini ukienda ofisini kwao watakupa maelezo ya kina zaidi, maana mimi natumia tu personal experience.
Ndiyo kwa yote mawili.Naomba kuuliza mfano nimeweka akiba yangu nikaicha Kwa Muda flan
1) naweza kutoa kias na kiasi kingine kikasalia ?
2) Ukitoa akiba yako yote unaruhusiwa kuweka tena?
Asante mkuu ππππNdiyo kwa yote mawili.
Hongera sana mkuu, Naam kila la heri katika safari yako hiiKweli abarikiwe mimi pia nimejiunga kwa kutumia app na nimeanza kuwekeza kidogo kidogo ila bado sijafika kwenye ofisi zao
Mkuu big up sana kwa madini, hata Mimi naweza kusema...bila kupitia hivyo vitabu viwili ulivyovitaja, inawezekana nisingeifungia hata huu uzi, hakika ni vitabu Bora sana as far as personal finance in concerned. Paying yourself first...lo..mkuu safi sana.Haaaa nashukuru sana pia kuu kwa recognition yako, ujue nilikuwa nina kahela kamelala tu bank na mara nyingine wanakakata, nikawazaaaa hapo hapo huwa napenda sana kusoma vitabu so nikakutana na madini flan kutoka kwa Robert kiyosaki (rich dad) pamoja na (George clason the richest man ni babilon) ambao waliongelea sana huu mfumo so nikawaza hvi kwa hapa tz hakuna system kama hii? Nikakutana na hii utt japo nilikuwa siijui inafunction vp, so nikapata wazo la kuleta huu uzi na namshukuru sna hyu mwamba niliemquote hapo juu ambae ndie amekuwa among of our teacher humu through his responses.
Naam mpaka kufukua mkuu!!!Hongera sana mkuu, ujue haya mambo tumefichwa sana mpk tufukue fukue hvi ndo tunapata mwanga wa kinachoendelea, bt in reality watu wanapiga sana pesa kwenye hii issue kimya kimya.