Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Nina experience mbaya kidogo na UTT,kama unataka kuuza vipande vyako upate hela nenda moja moja kwenye ofisi zao UTT. Kupitia CRDB utapata usumbufu mwingi sana. Mimi nina siku ya nane leo sijapata hela yangu.

Inatakiwa iwe siku 10 za Kazi. Toa weekend kwny hizo siku 10
 
Wekeza maisha huu mfuko unaweka pesa kwa muda wa miaka 10, vipande unaanza kuuza baada ya miaka mitano km ukihitaji baada ya miaka 10 unaweza hamia liquid au bond wakati huo una pesa yako ya maana
 
Mkuu naomba ABC kwa hiyo ya Watoto Fund. Nina 15m nafikiria kumuwekea mtoto wa 8. Achukue akifika umri wa chuo
 
Wekeza maisha huu mfuko unaweka pesa kwa muda wa miaka 10, vipande unaanza kuuza baada ya miaka mitano km ukihitaji baada ya miaka 10 unaweza hamia liquid au bond wakati huo una pesa yako ya maana
Mideko nidokeze kuhusu Watoto Fund
 
Mideko nidokeze kuhusu Watoto Fund
Watoto fund hii ni kwa ajili ya watoto chini ya miaka 18.
Kujiunga ni bure, kiwango cha awali cha kununua vipande ni sh 10000 kima cha chini, muendelezo wa kununua vipande ni kima cha chini sh 5000.
Zuio la kuuza vipande mpka mtoto atimize miaka 12. (Huwezi kutoa pesa mpk mtoto afike miaka 12. Kama ukijiunga mtoto ana mwaka basi ndani ya miaka 12 utakua unanunua tu vipande pasipo kutoa.)
 
Masuala ya riba yapoje. Mfano hapa ninataka niweke 15m kwa miaka 14yrs atakuwa na miaka 23
 
Mkuu naomba ABC kwa hiyo ya Watoto Fund. Nina 15m nafikiria kumuwekea mtoto wa 8. Achukue akifika umri wa chuo
kwa kukuongezea fungua na wekeza maisha unaweza ukawa unaitupa hata laki kila mwez huko au kama una pesa ya maana ambayo imekuja ghafla na huna mpango wa biashara weka huko kisha isahau.. then in 10 years rud uone maajabu ya compaund interest.. ila mie nilichofanya nimefungua bond then gawio la mwez automaticali linaingia wekeza maisha plus watoto fund so sina haja ya kumchangia mtoto kila mwez mifuko yenyewe inachangiana.. ndan ya akifikisha 23 anamzigo wa kutosha ataamua.. na mimi walau nina mafao ya uzeen .
 
Mkuu compound interest inaanza baada ya mda gani?
 

Akili kubwa hii. Hongera sana mkuu
 
Good sana mkuu.
 
Utt hukokotoa na thamani ya kipande kila siku na kutangaza thamani hiyo kila siku ya kazi.

Hii ina maana interest huanza kulipwa siku ifuatayo baada ya kununua vipande. Na uzuri mwenye vipande anaweza kufuatilia ukuaji wa alichowekeza mara kwa mara.
Je ikotokea Mtikisiko wa Uchumi au vita
Je Fedha zitakuwa na Usalama kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…