Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Yaani unamaanisha licha ya gawio la at least 10% kwa mwaka, hivyo vipande vinapanda thamani pia? Yaani kama hisa?Kwa vile thamani ya kipande (Net asset value per unit) hukokotolewa kila siku kwa kila mfuko wao, unaweza kukokotoa thamani ya uwekezaji wako kila utakapo.
Mimi kwa mfano huwa ninakokotoa thamani ya uwekezaji wangu mara 1 kila wiki. Unaweza kukokotoa hata kila siku.
Thamani za vipande siku kwa siku zinapatikana katika website ya utt, kwenye application ya utt ukiwa nayo, na mara nyingine huchapwa katika baadhi ya magazeti.
Kupanda thamani ni at least (si chini ya) 10% kama ulivyandika. Yaweza vary hadi say 13%. Hivyo ukigawiwa mathalan 10%, kuna growth kutokana na kile kinachozidi hapo. Namna sahihi ya kujua thamani halisi ni kutumia thamani ya kipande inayotangazwa.Yaani unamaanisha licha ya gawio la at least 10% kwa mwaka, hivyo vipande vinapanda thamani pia? Yaani kama hisa?
Karibu sana mkuu, tuzidi kupeana maarifa na fursa.Nashukuru sana mkuu kwa huu uzi, nimepata elimu nzuri kwangu
NdioNaomba uliza mtu mmoja naweza kujiunga na zaidi ya Mfuko mmoja.. !??
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Ata ukiamua kujiunga na mifuko yote ni uamuzi wako tu.Naomba uliza mtu mmoja naweza kujiunga na zaidi ya Mfuko mmoja.. !??
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Samahani..hii Liquid unakokotoa vipi riba yake kila siku?Kwa kuanzia ni laki moja, unaweza kudeposit kuanzia tsh 10000 wakati wowote ata ukiamua kila siku. Mm nilijiunga na liquid.
Hii 50k ni nje ya coupons za kila mwezi?Kama unapesa kuanzia million 5 ni vyema ukaweka Bond maana wanatoa dividend za 50,000 kwa muwekezaji wa 5m
Biashara gani hii Mkuu?Sema tu ni kwa vile mtu bado anakuwa hajajua pesa yake aifanyie nn ilipe, bt in reality kuweka 5M Kwa reward ya elfu 50 sio fair kabisa, 5m ukiizungusha kwenye business inaweza ikakupa mpk zaid ya 1m kila mwez.
Thamani ya kipande hukokotolewa na kutangazwa na utt kila siku ya kazi. Kwa mfano leo wanatangaza thamani kipande ya jana. Hivyo kwa vile utakuwa unajua idadi ya vipande vyako unazidisha na kupata ongezeko la uwekezaji wako.Samahani..hii Liquid unakokotoa vipi riba yake kila siku?
swali zuri sana,ngoja nisubiri jibu hapa.Me napenda kujua sustainability ya hii program. Vipi ukitumbukiza milioni zako 50 haiwekani siku za usoni program ikafa na hela zako zikafia huko?
[emoji112][emoji112][emoji112]Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.
Bila shaka unajua idadi ya vipande ulivyònunua. Kama hujui, omba statement utt kwa kwenda ofisini kwao au kwa kuwaandikia email.Habari mkuu, namimi niliweka liquid account mwaka jana, naomba unielekeze unaonaje ongezeko la pesa kila siku? asante
Ukiwa na ile app kila siku unaweza ukachek jinsi unavyoongezeka, ata bila app unaweza ukaangalia salio via *150*08#.Habari mkuu, namimi niliweka liquid account mwaka jana, naomba unielekeze unaonaje ongezeko la pesa kila siku? asante
Asante mkuu kwa ufafanuz zaid.Bila shaka unajua idadi ya vipande ulivyònunua. Kama hujui, omba statement utt kwa kwenda ofisini kwao au kwa kuwaandikia email.
Sasa ukishajua idadi ya vipande, kila bei ya kipande inapotolewa wewe unazidisha tu.
Kwa mfano bei ya tarehe 6/4/2022 Liquid ilikuwa Tsh 313.3518 kwa kipande. Zidisha mara vipande vyako.
Vinginevyo download/ jiunge na app ya utt ambapo utaweza kuona directly bei za vipande kila mara, na pia thamani ya uwekezaji wako.
ndio unaruhusiwa kukopea, yes io ni kama dividend za kuwekezaHii 50k ni nje ya coupons za kila mwezi?
Na hii bond nkitaka kopea mkopo Bank yawezekana?