LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
Nenda Sukari house kuna form utajaza za ku withdrawnashukuru kaka,nimeanza kusoma faida,je nikitaka kuirudisha hii faida kwenye mtaji nafanyaje? au kama nikitaka kuitoa faida tu,nafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Sukari house kuna form utajaza za ku withdrawnashukuru kaka,nimeanza kusoma faida,je nikitaka kuirudisha hii faida kwenye mtaji nafanyaje? au kama nikitaka kuitoa faida tu,nafanyaje?
ila mbona una withdraw mapema? at least hata ungekaa 3 month iendelee kujizalisha kidogo, UTT ni nzuri kuifanya kama kibubu cha malengo yako makubwa na ambayo yanachukua mda kuyatekeleza.nashukuru kaka,nimeanza kusoma faida,je nikitaka kuirudisha hii faida kwenye mtaji nafanyaje? au kama nikitaka kuitoa faida tu,nafanyaje?
Asante mkuu,mimi sina mpango wa kutoa hela,nimeuliza kwa sababu ya maarifa,mipango yangu ni kuendelea kuwekeza kila mwezi...ila swali langu,hii faida inayoongezeka inasoma tu kama hela,lakini idadi ya vipande ni vile vile,je nikitaka kuongeza idadi ya vipande kwa kutumia hii faida iliyoongezeka nafanyajeila mbona una withdraw mapema? at least hata ungekaa 3 month iendelee kujizalisha kidogo, UTT ni nzuri kuifanya kama kibubu cha malengo yako makubwa na ambayo yanachukua mda kuyatekeleza.
Vipande kila siku vinapanda thamani, ndio maana pesa ndio inaongezeka kwa thamani ya vipande vile vile, endelea kununua vipande mara kwa mara, ukiwa na 5,000 yako spare unahisi utaitumia vibaya jinunulie vipande vyako ni addiction nzuriAsante mkuu,mimi sina mpango wa kutoa hela,nimeuliza kwa sababu ya maarifa,mipango yangu ni kuendelea kuwekeza kila mwezi...ila swali langu,hii faida inayoongezeka inasoma tu kama hela,lakini idadi ya vipande ni vile vile,je nikitaka kuongeza idadi ya vipande kwa kutumia hii faida iliyoongezeka nafanyaje
Kwa liquid nadhan inaanzia elfu kumi mkuu.Vipande kila siku vinapanda thamani, ndio maana pesa ndio inaongezeka kwa thamani ya vipande vile vile, endelea kununua vipande mara kwa mara, ukiwa na 5,000 yako spare unahisi utaitumia vibaya jinunulie vipande vyako ni addiction nzuri
Nilitaka kulike mara tatu lakini fursa iko moja tu.Vipande kila siku vinapanda thamani, ndio maana pesa ndio inaongezeka kwa thamani ya vipande vile vile, endelea kununua vipande mara kwa mara, ukiwa na 5,000 yako spare unahisi utaitumia vibaya jinunulie vipande vyako ni addiction nzuri
Hata hyo moja hujaitumia mkuu[emoji23]Nilitaka kulike mara tatu lakini fursa iko moja tu.
Kiongozi naomba niweke sawa kuhusu hili,nimewekeza hela,na nimeanzq kuona ongezeko la hela niliyoweka,lakini vipande vipo idadi ile ile,je nikitaka hii hela iliyoongezeka inunue vipande vingine nafanyaje?Kwa liquid nadhan inaanzia elfu kumi mkuu.
Ongezeko ni la hela tu mkuu, vipande huwa vinabaki idadi ile ile, ukitaka viongezeke unadeposit hela kwenye account yako ya utt na utaona vipande vimeongezeka idadi, so usiponunua utaona ongezeko la hela tu.Kiongozi naomba niweke sawa kuhusu hili,nimewekeza hela,na nimeanzq kuona ongezeko la hela niliyoweka,lakini vipande vipo idadi ile ile,je nikitaka hii hela iliyoongezeka inunue vipande vingine nafanyaje?
Samahani ofisi zao ziko wapi..pia kiwango cha kuanzia ni kipi? Katika uwekezaji huu.Bila shaka unajua idadi ya vipande ulivyònunua. Kama hujui, omba statement utt kwa kwenda ofisini kwao au kwa kuwaandikia email.
Sasa ukishajua idadi ya vipande, kila bei ya kipande inapotolewa wewe unazidisha tu.
Kwa mfano bei ya tarehe 6/4/2022 Liquid ilikuwa Tsh 313.3518 kwa kipande. Zidisha mara vipande vyako.
Vinginevyo download/ jiunge na app ya utt ambapo utaweza kuona directly bei za vipande kila mara, na pia thamani ya uwekezaji wako.
sasa ndio swali langu lipo hapo,ile hela inayoongezeka,kama na yenyewe nataka kuitumia kununulia vipande nafanyaje?Ongezeko ni la hela tu mkuu, vipande huwa vinabaki idadi ile ile, ukitaka viongezeke unadeposit hela kwenye account yako ya utt na utaona vipande vimeongezeka idadi, so usiponunua utaona ongezeko la hela tu.
Nimekupata mkuu, ngoja wajuvi zaidi waje,sasa ndio swali langu lipo hapo,ile hela inayoongezeka,kama na yenyewe nataka kuitumia kununulia vipande nafanyaje?
Me napenda kujua sustainability ya hii program. Vipi ukitumbukiza milioni zako 50 haiwekani siku za usoni program ikafa na hela zako zikafia huko?
Mutual funds (mfano UTT) zipo ulimwenguni pote na ziko reliable sana. Kwangu mimi naona ni reliable kuliko hata benki, kwa vile hata hapa kwetu Tz tumekwishashuhudia benki kadhaa kufilisika na kufa.Wakuu pmwasyoke na Vladimir Lenin hili swali halijapata majibu.
Binafsi niliwahi kumsikia mkuu wa mkoa wa Dodoma akizungumzia hii issue na Mungu jalia nimepata vi million 100 sina uzoefu wa biashara kwa hiyo nilitaka nilitaka niviweke huko kama nikipata hata 12M kwa mwaka nitakuwa nahesabu 1M kwa mwezi ambayo ni matumizi tosha kwangu na familia yangu.
Naomba msaada wa reliability ya uwekezaji huu. Asante
Aquila non capit muscas
Sukari House kama uko Dar. Lakini pia wako baadhi ya mikoa kama Dodoma, Mbeya, nk.Samahani ofisi zao ziko wapi..pia kiwango cha kuanzia ni kipi? Katika uwekezaji huu.
#MaendeleoHayanaChama
Mutual funds (mfano UTT) zipo ulimwenguni pote na ziko reliable sana. Kwangu mimi naona ni reliable kuliko hata benki, kwa vile hata hapa kwetu Tz tumekwishashuhudia benki kadhaa kufilisika na kufa.
UTT ni mfuko ulioanzishwa na serikali, ambayo ilitoa waitayo seed money. Na serikali inailinda ili iendeshwe kwa kanuni za mifuko hiyo ulimwenguni. Wanawekeza asilimia kubwa ya fedha zao katika sehemu ambazo risk ni minimal, karibu na hakuna - mfano kwenye treasury bonds, Municipal bonds, baadhi ya hisa nk.
Ni wazi kukitokea machafuko katika nchi mfano ilivyo sasa Ukraine, mifuko ya jinsi hii inaweza kushindwa kujiendesha, kwa vile hata serikali yenyewe inaweza kushindwa kwa mfano kuhudumia bonds. Risk ya hali hii kutokea ni ndogo mno.
Hivyo wakuu, utt ni sustainable as long as nchi na serikali vinabaki viable.
Mimi nilianza kuwekeza UTT toka inaanzishwa, na ninaendelea kuifaidi. Na pia nimewekeza kwenye treasury bonds. Havijawahi kuniangusha.
Amina. Ubarikiwe pia katika nia yako.Mkuu mwenyezi Mungu akubariki sana. Umetoa ufafanuzi yakinifu na toshelezi. Week ijayo nitakuwa Posta ofsini kwao na 100M kisha nitaleta mrejesho hapa.
Aquila non capit muscas!