Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
- Thread starter
-
- #81
hakika cha ajabu hku kwetu korean sijui drama sijui movie , series yaani hata sijui ni ziiteje ndo chaguo lao bila korean mambo hayaendiUkizama kwenye Hollywood movies, hata Wakorea utawaona miyeyusho hao Bongo movie sijui hata kama bado wana act.
Ndo hapo hatukujua itakuwaje wapo mpaka mwendelezo wake lakini imetoka mwaka jana sikosei tuwape muda auNA BADO VIP KUHUSU YULE DOGO PALE MWISHONI ALIYE JIPENDEKEZA KUPANDA KULE JUU AKASHUSHWA NA VILE VYUMA VIPI SIJUI NAE ALIPONA? MAANA SLOGANI YA KULE ILIKUWA UKIFA TU UNAGEUZWA ROBOT.
Ile ni kama imaginationMwishoni jamaa anaonekana kwa mbali wakati mtoto yupo swimming pool
HIKI CHUMA INTO THE BADLAND SIJAONA KABISA. UTATA MWING BALAA HAPO MWISHONI JE SUN ALIKUFA? NA VIP KUHUSU TIRIDA NAE ALIKUFA ? NA VIPI KUHUSU YULE MAMA MGANGA ALIENDA KUUNDA JESHI LAKE JE ITAKUAJE ?. HAYA NI MASWALI AMBAYO SINA MAJIBU YAKE .Into the Badlands.
View attachment 1471574
Oz :A Powelful and Great yule jamaa atarudi duniani kweli.HATAREEEE
SO mziki utaendelea?Ile ni kama imagination
View attachment 1471577
Tatizo starring kadedi na yule mhusika mkuu wa utekaji naye aliuliwa so naona hamna story ya muendelezo hapo. Ila let's wait tuoneSO mziki utaendelea?
Into the Badlands.
View attachment 1471574
Na bloodshot nilisahau kwenye listUMEONA EEEH
Yani Mimi kitendo Cha kuonekana starring pembeni mwa swimming pool ndiyo kimenipa mzuka was kutaka muendelezo.Mwishoni jamaa anaonekana kwa mbali wakati mtoto yupo swimming pool
Sijaielewaga ilivyoisha..sun yupo nusu duniani nusu mfu..🤷HIKI CHUMA INTO THE BADLAND SIJAONA KABISA. UTATA MWING BALAA HAPO MWISHONI JE SUN ALIKUFA? NA VIP KUHUSU TIRIDA NAE ALIKUFA ? NA VIPI KUHUSU YULE MAMA MGANGA ALIENDA KUUNDA JESHI LAKE JE ITAKUAJE ?. HAYA NI MASWALI AMBAYO SINA MAJIBU YAKE .
6 underground ile movie nzima ni kama trailerExtraction mnaipaisha mno wakati hata bloodshot 6 underground zinaipita mbaaali
Ukimaanishanini mkuu6 underground ile movie nzima ni kama trailer
HIII NILIONaga tu kwa jamaa flani ila sikuitilia mkazo vipi nayo ni kisanga?