Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Hey Hey!

Note: COVID-19 is REAL

Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza.

BACK TO THE TOPIC.

Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
 
Huyu bell 9 huyu huyu cjui ana
Kwama wapi wenzake alioanza
Anao kina domo,ben pol,n.k
Wote wametoka cjui yy anakaziwa
Wapi miaka nenda rud

Baraka the Prince huyu n madharau
Na kibur + kutapka ovyo kingekua mbali sana
Hiki kitoto

stidy
 
Diamond platnumz aisee yani huyu nilikuta mange kimambi Amemchamba aisee nilitaka kumtukana kwenye page!! Nilishikwa na hasira ghafla! Lakini ndo maisha diamond mwenyewe ata hanijui basi tu, 😞😞
 
Hey Hey!

Note: COVID-19 is REAL

Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza.

BACK TO THE TOPIC.

Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
Kali P
 
Back
Top Bottom