Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

Fid Q, huyu jamaa hapewi heshima anayostahili japo ni mnoma kweli
 
Diamond platnumz lakini Ni zamani sikuiz nimeacha Mambo anayoyafanya yanajitetea yenyewe[emoji3][emoji3]
 
Kama unataka ugombane na kigoma independent, na kuweka bifu la kiwango Cha PHD, HD na SGR.

Basi jaribu kumsema vibaya Diamond platinumz THE G. O. A. T pamoja na WCB kwa ujumla yaani Hadi familia yako ntaweka nayo bifu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yan nikikuta unamponda au kumtukana King Kiba Niko tyr nikupge Beto niende jera.
 
Back
Top Bottom