Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

David Genzi aka Young Dar es Salaam. Nilikua nabishia washkaji kwamba hatumii madawa. Waliokua wanamponda hapo nipo chuo ulikua ugomvi. Duh, watu wanaleta hadi video ila nasema acting tu. Hahaha baadae ikawa too much.
 
Aubrey Drake Graham a.k.a Drake Dreezy

Huyo ni collegemate kwenye art school wangu pale Toronto
 
Back
Top Bottom