Kali PHey Hey!
Note: COVID-19 is REAL
Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza.
BACK TO THE TOPIC.
Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
Hilo neno akeee hawatumii WANAUME,la sivyo utakuwa na Walakini.
Ujaelewa, Nimesema hao wa upande huo hata wakiume ndo mnamuita ivyo.. Hata wasanii wenu wa Wcb kwenye Ngoma zenu wanalitumia sanaHilo neno akeee hawatumii WANAUME,la sivyo utakuwa na Walakini.
Hata wewe umelitumia na ndio maana nimeshangaa.Ujaelewa, Nimesema hao wa upande huo hata wakiume ndo mnamuita ivyo.. Hata wasanii wenu wa Wcb kwenye Ngoma zenu wanalitumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Amber Rutty. Yaani zile video zake zilivyozagaa mitandaoni niliumia sana, na alivyowekwa jela, mawazo ya kujiua yalikuwa yananinyelea.
Hujaelewa soma kwa makini uelewe, Kiufupi ni kwamba nimewanukuu wanavyosemaga, kama hujaelewa na hapa kanye ulaleHata wewe umelitumia na ndio maana nimeshangaa.