joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wanavyosemaga au unavyosemaga wewe mlinzi wa Kiba.Hujaelewa soma kwa makini uelewe, Kiufupi ni kwamba nimewanukuu wanavyosemaga, kama hujaelewa na hapa kanye ulale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno akeee hawatumii WANAUME,la sivyo utakuwa na Walakini.
Silioni tusi au wewe umeona tusi? Mimi nimemshangaa kutumia neno "akeee" ambalo mwanaume hawezi litumia.[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa kakutukana aise. Rudia kusoma koment
hata soudy brown na Adam wanalitumia bila kumsahau Mon sentrozonUjaelewa, Nimesema hao wa upande huo hata wakiume ndo mnamuita ivyo.. Hata wasanii wenu wa Wcb kwenye Ngoma zenu wanalitumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada kakuingia kindaki uzi kama wa pili huu naona unamtetea
Jomoneeeeeh ni kwel, "vee money on the truck eeeh' kwa sauti ya cash madamee. UwiiiiiiHuyu dada kakuingia kindaki uzi kama wa pili huu naona unamtetea
Nilitaka kusema hivyo hivyo au labda mwenzetu jinsia yake ni ke!Hilo neno akeee hawatumii WANAUME,la sivyo utakuwa na Walakini.