proto cute
Senior Member
- Apr 22, 2015
- 191
- 112
OCG
Yule aliyeimba nataka mchumba wa 30,nina bahati mbaya
OCG
Yule aliyeimba nataka mchumba wa 30,nina bahati mbaya
Mb dog.
dah,kweli huyu jamaa...ukifatilia kupotea kwa hawa jamaa ndipo utaanza kuzijua dosari za profesa jay
Mi wasanii ninaowataka warudi ni
Voice Wonder
Kali P
Suma G
Solid Ground Family
Suma Lee
Noorah
Je wewe unawamiss kina nani?
University corner,
Solid groud family,
Uswahilini matola,
Wagosi wa kaya,
Daz dundaz,
Mr.paul,
Mike T,
Vumilia,
Mb dog,
Gk,
Noorah, n.k
Kiufupi ni wengi sana,
Nilikua naipenda bongo flavour ya zamani, kwa sasa hata sijui wanaimba nini.
Poline zongo,stara thomas na kuna wimbo una maneno yanasema"macho yanaona mbali,lkn ni vigumu sikio lako kuliona,nahisi unaitwa utanikumbuka"..aloimba na kuandika ule wimbo anajua sana,siku hizi waliopo wanaimba utumbo mtupu..
Terry Fanani junky heavy, sasa mtu mzima na akili zake anakula unga umlaumu Jay yeye ndio anamnunulia ngada? Lawama nyingine hizi.
Aah sasa hivi nishazeeka bana
Miaka na mwiliUmezeeka nini haswa
Unique Sisters, MacD
OCG
Yule aliyeimba nataka mchumba wa 30,nina bahati mbaya