Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?
Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
Serekali ndio iliwapeleka na serikali ndio inawalipa salary na hiyo serikali bado ipo so hakuna shida

... kwani aliongea hivyo in which capacity? Kama Spika au kama Ndugai? I think ni kama Spika; basi wataendelea kuwepo as long as cheo cha Spika bado kipo.Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?
Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
Yani wabunge Ni wachadema lakini walipelekwa bungeni na serikali?. Kama Ni uonevu CHADEMA walionewa mpaka mwisho.
Muda utasema, nao watatoka tu.
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?
Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
Wabunge wote fake😂 hakuna cha 19 wote 2020 ni fake
Hayo sasa unajua ww, hapo unataka kusema lisu ndio alishinda au sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee mdee na mkewe bulaya
Mzee mdee na mkewe bulaya
Pambaff!!Hawawez kutoka Kwa sababu sheria inasema chadema wapeleke wabunge 19 na wapo bungeni