Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?

Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko

Serekali ndio iliwapeleka na serikali ndio inawalipa salary na hiyo serikali bado ipo so hakuna shida
 
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?

Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko

Kila ubaya uliofanywa utalipwa kwa muda wake. CHADEMA ilitumia akili kuachana nao, Sasa hivi wamebaki wakitegemea huruma za CCM. Maana ingesema ikimbizane nao wangepata kiburi, Sasa CHADEMA imewaacha wenyewe na mtetezi wao Ndugai kaondolewa. Yajayo yanafurahisha Sana.
 
Hauwezi kuwa mwisho, maana wapo hapo kusave purpose maalumu. Waiba uchaguzi walisahau kuwa bunge linahitajika kuwa na wapinzani, ndio mwanzo wa kuwang'ang'ania wale wamama.
 
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?

Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
... kwani aliongea hivyo in which capacity? Kama Spika au kama Ndugai? I think ni kama Spika; basi wataendelea kuwepo as long as cheo cha Spika bado kipo.
 
Yani wabunge Ni wachadema lakini walipelekwa bungeni na serikali?. Kama Ni uonevu CHADEMA walionewa mpaka mwisho.

Chadema ndio ilipeleka majina tume, na Tume wakapeleka Kwa spika ni utaratibu Tu, na zile nafasi ni zao zipo kikatiba sio nafasi za wanaume
 
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?

Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko

Wabunge wote fake😂 hakuna cha 19 wote 2020 ni fake
 
Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana!

Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaandikabarua ya kuacha kaz..teh🤣
 
Hayo sasa unajua ww, hapo unataka kusema lisu ndio alishinda au sio

Lissu hakugombea ubunge mwaka 2020! Sisemi mimi ni waangalizi wote waliopo huru na wakimataifa. Tatizo kubwa kuna watu wanapenda tujidanganye kama vile uchaguzi ulikuwa halali.😂🏃‍♂️ Mdee inawezekana ana haki ya kuwa bungeni kuliko Gwajima kama uchaguzi ungekuwa wa haki
 
Hao wabunge feki walipelekwa huko kwa amri haramu ya dikteta Magufuli akiamini kwamba uwepo wao huko utasaidia kuwahadaa wafadhili ili waendelee kuunga mkono bajeti tegemezi ya Tanzania ni mkakati ambao hata hii serikali ya sasa inaweza ikaendelea nayo.
 
Back
Top Bottom