Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

Lakini huu ndio ukweli
Bado wanakaza shingo wakati meli inazama labda itakapozama yote ndipo watakumbuka kosa lao
Naamini una hoja, ila tu hautazami kwa kina historia ya matukio ya kisiasa, especially kuanzia 2015. Ni CHADEMA ya Mbowe iliyofikisha wabunge 50+ kutoka wa5 tu kwa Muda wa Miaka 10. Lakini ni CHADEMA ya Mbowe hiyo hiyo ndio imeshuka na kuwa na Mbunge Mmoja tu kwa kipindi cha Miaka Mi5 tu. Tatizo sio Lissu au Mbowe, Tatizo ni kuwa Hali ya kisiasa imebadilika sana kiasi kuwa si rafiki tena kwa wapinzani. So, ilihitaji kubadilisha Approach. It required a Militant Approach. Haya yanayoendelea Nchini kwa sasa, ni matokeo ya Msimamo wa kisiasa wa Uongozi Mpya wa CHADEMA. Non compromising approach. So, muda utathibitisha kuwa Mbowe alikuwa sahihi hadi kufikia 2022. Na Lissu yuko Sahihi kuanzia 2025 onwards.
 
Ewaaa, nimekuelewa vizuri sana hoja yako ni nzito sana na ina ukweli kwamba hali ya kisiasa imebadilika
 
Wapashe habari wanaokulipa ukiuwa mwanachadema mmoja wanazaliwa mia moja wao walifikiri kumnunua mbowe ndo kuiua chadema chadema ni wazo na fikra na sio mtu au jina chadema
Swawa ujumbe utafika kupitia makala nyingine nitakayoandika hivi punde
 
chadema haijafa kilichokufa ni serikali inayoongoza kwa mtutu teka ua wapinzani.wabunge na madiwani hadi serikali ya mtaa ni jeshi la mtu mmoja wala cyo ccm.ccm haina tofauti na chadema bora hata chadema.ccm imekufa kitambo kwa magufuli samia anamalizia kuzka mzoga.km huamin itisha uchaguzi wa haki km itaambulia hata asilhmia kumi ya kura
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuaminika na kubagain, Lissu ameiondoa Chadema ktk biashara ya kisiasa mpaka kuaminika na watanzania. Chama kishinde Chaguzi kwa kukubalika na kuaminiwa na watu bila kupangiwa na wahuni flani wa mfumo. Mbunge aende bungeni kwa nguvu ya wananchi na sio fever ya mtu flani.

Ni watu wenye akili kubwa ndio wanaelewa Lissu anachokifanya. Ukitegemea fever ya mtu ndo hayo Leo unawabunge 70 kesho 10, kesho kutwa huna kabisa. Ukimuuzi tu anaekupa fever basi uchaguzi ujao hupewi hata mwenyekiti, ndicho alichokuwa anakifanya mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…