Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
- Thread starter
- #41
Sawa mpigie kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mpigie kura
Ndio hivyo hamna sio suala la kupiga kuraAcha maneno maneno pigakura
Magufuli hakuwa mwanasiasa ingawa kwa sababu za kikatiba alipita njia za kisiasa kupata uraisHapa TZ n nan aliwahi kuongoza nchi akiwa sio mwanasiasa?
Swali zuri sanaSasa boss hata ukiambiwa toa pendekezo nje ya mfumo wa siasa unamuweka nani? Yupo tayari? Mfumo wa nchi unaruhusu?
Naungana na wewe Kwa kiasi flaniMagufuli hakuwa mwanasiasa ingawa kwa sababu za kikatiba alipita njia za kisiasa kupata urais
Hizi kura zinaukweli 70%Safi sana Jamii forum,
Mambo kama haya yako kwenye level za Mtaa,
Kila sehemu ni POLL
Mzaha siyo mzaha?Hata Mimi naunga mkono hoja Kigwangala
Unafika pale juu kwa uliyo yafanya tangu upo kwenye majimbo au nafasi za chini huko.System ya china ikoje?
Hii ni nzuri sana, Mimi ninataka mtu mzalendo tuBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Nchi inataka mtu wakupigana na ufisadiPoll Kali sana hii,hapa Rais lazima atoke
Huyo mnafiki na Mdini hafai hata kidogo!Zitto kabwe 😃😃😃
uzi wa paschal mayala miaka ile.Siku zote wa Mwisho ndio atakayekuwa wa Kwanza.
Ndio neno nililolipata.
Maana yake siijui msiniulize, nimeleta kama nilivyopokea.
Anayechukia wizi na Ufisadi ndio mtu tunamtakaBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Lissu mbona yupo au wewe ndio Makamba?Hii ajabu mtoa mada amesahau jina lake kwenye list, weka langu apo , akifuatiwa na lissu