Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

Je, ni nani kati ya hawa 10 ana sifa za kuwa mrithi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan?

  • 1. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba

    Votes: 4 2.5%
  • 2. Dkt Emmanuel Nchimbi

    Votes: 4 2.5%
  • 3. Majaliwa Khasimu Majaliwa

    Votes: 11 6.9%
  • 4. Dkt Hussein Ally Mwinyi

    Votes: 15 9.4%
  • 5. Dkt Tulia Ackson Mwansasú

    Votes: 5 3.1%
  • 6. Dkt Dotto Mashaka Biteko

    Votes: 9 5.7%
  • 7. David Zacharia Kafulila

    Votes: 48 30.2%
  • 8. Paul Christian Makonda

    Votes: 28 17.6%
  • 9. January Yusuph Makamba

    Votes: 6 3.8%
  • 10. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 29 18.2%

  • Total voters
    159
  • Poll closed .
System ya china ikoje?
Unafika pale juu kwa uliyo yafanya tangu upo kwenye majimbo au nafasi za chini huko.

Yaani tangu unaingia kwenye kulitumikia taifa lako nafasi za chini huko umefanya mambo gani ambayo Yana impact kubwa kwa taifa na future ya taifa lao kwa ujumla.

Hivyo kule hupati nafasi kwa sababu una connection au unamjua Fulani, huwa wanatumia njia hiyo pia watu kufanyiwa promotion kwenye nafasi zao mpaka unakuja kuwa pale juu maana yake umefanyiwa vetting ya kufa mtu.

Nadhani muda mwingine huku kwetu ni tofauti kidogo, kuna watu wapo juu kwa sababu tu wanajuana na watu fulani.
 
Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi

Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.

Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.

Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.

Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.

**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,

1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √

2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"

****************************************
Hii ni nzuri sana, Mimi ninataka mtu mzalendo tu
 
Kwa maoni yangu, hakuna hata mmoja kwenye hiyo list ambaye ni presidential material . Ili nchi ipige hatua tunahitaji awe na sifa ya uetendaji na ya uanasiasa
 
Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi

Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.

Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.

Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.

Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.

**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,

1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √

2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"

****************************************
Anayechukia wizi na Ufisadi ndio mtu tunamtaka
 
Kwa maoni yangu Waziri Mkuu wa sasa Majaliwa Kassim Majaliwa ni mtu sahihi sana, naona ana chembechembe za uzalendo ndani yake, mtu wa maamuzi na tabia za KiMagufuli,..Huyu angefaa sana kama siku moja angepewa nafasi ya kuongoza nchi.
 
Nape au january watatufaa tu, hii Nchi hata kichwa cha mbuzi kinaweza kuongoza.
 
Back
Top Bottom