Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

Anajua ili maslahi yake yafanikiwe ni sharti awe na ukaribu na Tanzania Haina namna nyingine
 
Mzee hapa unataja majina majina ya watoto wa PAKA. Tueleze sababu yake ya kutaka kuilupua Dar
 
Tunahitaji ujirani mwema. Sawa lakini huu ujirani mwema uwe na maslah pande zote.
 
Safari hii "Mwamba" wako hana pa kutokea.

Hata 'sponsors' wake wamegundua u'snitch' alio nao.

Bila 'sponsors' hana kitu.

He is being reduced to his rightful size.
That's all your wishes kwake ila tangu amekuwa madarakani it's about 23 years now,amekutana na hayo mara kibao Tena makubwa,ameyahimili kwakuwa anawapambania wananchi wake,muache I bwana
 
Huyo mtu ana roho mbaya kama wengi kwenye mbari yao ya kitutsi. Nasema wengi kwani kuna watutsi nawajua watu waungwana kabisa.
Kagame hakumbuki hata kwamba wengi wa wanyarwanda asilimia zaidi ya 80ni wabantu na ndio maana anadai maeneo ya congo ambapo huko kale wafalme wa kitutsi walitawala wabantu.
 
A
 
Mkuu Mimi Kwa Mtazamo wangu. Huyu Terminator Pk anatafutwa uungwaji wa mkono kutoka Kwa mama SSH.
Iko hivi majuzi Rais Tshisekedi wa Congo RDC alituma mwakilishi kuja kuonana na Mama yetu SSH. Hivyo nahisi PK sasa Ana hanyahanya kwasababu ameshikwa pabaya.
Pia na Mataifa yamechoka tabia Zake za kusuport vibaka wanaoitaabisha Congo RDC.
 
Raia gani wa Rwanda ana akili kubwa?.Akili za kuuana na kubaguana kwa ukubwa wa pua?

Nawadharau sana watu wanaotaka kulinganisha Rwanda na Tanzania. Ni upuuzi labda walinganishe na mikoa ya lake zone (Mwanza, Geita, Mara na Bukoba)
Naungana na ww. Hiyo Nchi yenyewe km za mraba 26,000 ambayo Sawa na wilaya mojawapo nchini Tanzania.
Nchi haina Rasilimali, wanalima maparachichi,kahawa na migomba Kwa ajili ya Kulisha WAtu na Sokwe watu wao wanaowMiliki. Leo hii uje uilinganishe na Taifa kubwa la Tanzania!?.
Na ndio vile PK anaiba Rasilimali Congo na kuendesha Nchi yake. Mbona Burundi siyo Wezi kama yeye!?
Itoshe kusema sasa Amani ipatikane Congo na wacomani waishi Kwa Amani. Ukizingatia hawa ndio wateja wetu wakubwa wa bandari yetu na ciyo hako ka wilaya ka Rwanda.
 
Hii nchi baada ya Kagame itakuja kulipuka kama Sudan tu. Mtu mmoja akikaa madarakani muda mrefu kwa ubabe, anawaongoza kwa vitisho, kuua na kauli yake inakuwa kama ndiyo kama kauli ya Mungu, anapotoka au kufa lazima taifa lipasuke.
 
Mi mwenyewe namkubali sana kikwete kwwnye diplomasia!

Paka amefeli sana kuwaunganisha wanyarwanda!

Mwenyewe angeitengeneza deep state ya Rwanda kwa uwepo wa wahutu tutsi na watwa yaani makabila yote ya Rwanda na angepiga marufuku Rais kutoka makabila mawili makubwa yaani Hutu na tutsi marais watoke makabila madogo tu pekee huku waziri mkuu na mkuu wa majeshiwakitoka makabila makubwa ya tutsi au hutu angeua ukabila na Rwanda ingekua na demokrasia NZURI nchini mwao!!SASA ameharibu nchi kwa kuendekeza watutsi pekee ambalo ni kosa KWA mstakabali wa taifa lao huko mbeleni!! !!
 
That's all your wishes kwake ila tangu amekuwa madarakani it's about 23 years now,amekutana na hayo mara kibao Tena makubwa,ameyahimili kwakuwa anawapambania wananchi wake,muache I bwana
Inawezekana anawapambania wananchi wake, hilo analifahamu yeye mwenyewe; lakini baadhi ya njia zake, kama zilivyokuwa za Magufuli hapa, ambaye wengi pia wanahusisha na kupambania wananchi; njia hizo zilimnyima haki ya heshima aliyoistahiri.

Huyo wa kwako, amefika mwisho wa kamba yake kuhusu upambanaji unaouona wewe.
 
Una taarifa za Ikulu kwamba hii ziara haijapangwa muda mrefu na imekua ghafla?
Unaweza kutuambia ughafla wake upoje? Aliamka asubuhi akasema kesho naja Tanzania?
Swali zuri sana.... anasema ni ziara ya kushtukiza kana kwamba anajua ziara zote za maraisi Tanzania
 
Jana kwenye afla ya chakula cha Rais kwa mgeni wake sikumuona JK miongoni mwa wastaafu.

Mkwere hawezi kuwepo mahala Kagame alipo ; Kagame alikwisha mdharau huyo mkwere siku nyingi pale alipomwambia kuwa RWANDA ingekuwa na bandari ya DAR, isingekuwa inahangaika Dunia nzima kuomba mikopo!!! Matusi hayo ndio yanamfanya amchukie PAKA!
 
Kwa maoni yangu ni kwamba, Kagame anaandaa mazingira mazuri ya ku guarantee logistic endapo kitanuka na kongo.. Kwa jiografia ya Rwanda ilipo, Tanzania ndo mlango pekee mrahisi wa kupitisha silaha
 
Mkwere hawezi kuwepo mahala Kagame alipo ; Kagame alikwisha mdharau huyo mkwere siku nyingi pale alipomwambia kuwa RWANDA ingekuwa na bandari ya DAR, isingekuwa inahangaika Dunia nzima kuomba mikopo!!! Matusi hayo ndio yanamfanya amchukie PAKA!
Lakini si unajua yaliyofuatia baada ya hapo? Hukumbuki alivyotwangwa na asiwe na la kufanya?

Ndiyo, alisema ukweli kuhusu bandari, na kama Mkwere angekuwa na akili za kutosha ingelazimu alifanyie kazi hilo.
Lakini mbona umeishia njiani kuhusu aliyosema PAKA juu ya Kikwete? Hukumbuki vitisho alivyopewa vya "I will hit him"?

Na alipojaribu uhuni wa kumpindua Nkuruziza, hukumbuki alivyoufyata alipoambiwa asithubutu? Mbona watu mnajisahaulisha mambo harakaharaka.
 

Sasa kwanini tunakubali kuwa na watawala wasio na akili za kutosha? Makosa yale yale ya mababu zetu ya kuuza ardhi kwa kupewa ushanga na wakoloni bado tunayarudia!! Juzi juzi tu watawala wametiliana saini ya migodi mitatu na wawekezaji na kuahidiwa Fedha milioni kadhaa za kimarekani!! Je tumefanyika uchambuzi yakinifu wa thamani ya madini yatakayochimbwa na kujua kama hizo fedha na 51% shareholding kwenye hiyo migodi ni halali yetu?
Wataalam wa madini wanasema kuwa mgodi mmoja kati ya hilo mitatu kwa mwaka itatoa mara kumi ya hizo pesa walizowapa kwa hiyo migodi yote!
Zaidi ya yote maamuzi ya jinsi ya mgawanyo na kupata hiyo 51% baada ya uzalishaji hufanywa na Bodi ya hizo kampuni, je uwakilishii wa Watanzania kwenye hizo Bodi ukoje? Hayo dio mambo ya kufikiria tunapoingia kwenye mikataba na wageni!!
Kwa bahati mbaya hatujifunzi huko tulikotoka kwani tunatumia watu wale wale waliotuingiza mkenge na BARRICK GOLD kwenye Makinikia; wakina Kabudi kutengeneza mikataba mipya tukitegemea kuwa itakuwa bora kuliko ile ya BARRICK!! It is insane to use the same method as before and expect a different result!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…