Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hello

Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?

mtoto baba.PNG
 
Umeitoa Facebook hii maada na picha kwenye page ya hello..me naona haifai kwa sababu kichwa cha chini hakina akili hata moja
No sijawai kuwa na acccount fb naonaga mtandao wa wanafunzi wa sekondari na waswahili kuna jirani yetu hapa nasikia analala na bint yake mama yake kaenda kwao kusalimia uchagani
 
Kwa ulimwengu wa sasa sio jambo zuri ila pia inategemea na baba mwenyewe kama ndio hawa wa bro , oya , inakuaje , basi nakusihi wewe mwanamke mlinde mwanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ulimwengu wa sasa bro. Kuna mila nyingi tu binti akishavunja ungo haruhusiwi kuketi sehemu moja na wanaume. Haya mambo ya kula, kuangalia tv au kwenda beach na watoto wako mkiwa kwenye swimming customes ndio usasa wenyewe

Kwa akili ya kawaida utaona halina mantiki ila kwa asili ya kibinadamu, ni muhimu sana kuweka mpaka wa kimazingira baina ya mtoto wa kike na jinsia ya kiume, ikianza na nyumbani katika kipindi cha balehe 🙏
 
Back
Top Bottom