Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Sijawahi kukuona Kwenye jukwaa tofauti na la siasaš š§¢Hakuna ubaya baba mzazi kulala kitanda kimoja na binti yake from mdogo up to 6 years, akianza primary, anakuwa sasa ni mkubwa, hivyo hana sababu ya kulala na dady.
P