Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

Fikiria umetoka Dar unaelekea mbeya vijijin, ukifik Mbeya inatakiwa ulale gest halafu upo na mwanao wa miaka 6 au 7.
Hata kama utamchukulia ni mwanao ila macho ya watu watakuwekea viulizo.

Kimsingi mwanao ni sawa na dada yako sidhani kama utapata matamanio.
Kabisa niliona mtu ametoka kigoma na mtoto wa kike anaenda zanzibar kwenye mwendokas ana angaika na mizigo wakamuuliza mama yake yupo wapi wa huyu mtoto ana cheka tu
 
Ingawa inategemea Mtu na Mtu lakini nadhani kama hakuna udharula ni bora kukwepa hayo mazingira.

Kwa kawaida Mtoto yeye haoni tatizo kwani akili yake bado, hivyo ni jukumu la wewe Mtu mzima kuangalia namna nzuri, salama na ya kimaadili ya kuishi na Binti wako...na wakati mwingine hata yule wa kiume.
 
Mimi kijana na nikiwa na hofu ya mungu nalala nae vizuri tu hayo maushetani mnayowaza endeleeni kuwaza #Death is random and real
 
No sijawai kuwa na acccount fb naonaga mtandao wa wanafunzi wa sekondari na waswahili kuna jirani yetu hapa nasikia analala na bint yake mama yake kaenda kwao kusalimia uchagani
Hakuna mchaga aliyepungukiwa na akili namna hiyo amuache mtoto bila kuwepo muangalizi wa kike
 
Yes with no doubt mi naweza kabisa kulala na binti yangu,ila akiwa chini ya miaka 12..yaani akiwa bado mtoto coz binti akishakuwa anahitaji faragha zaidi na muda wa kuwa na mama yake kuliko baba.
 
Yes with no doubt mi naweza kabisa kulala na binti yangu,ila akiwa chini ya miaka 12..yaani akiwa bado mtoto coz binti akishakuwa anahitaji faragha zaidi na muda wa kuwa na mama yake kuliko baba.
Mzee binti Miaka 12 si mkubwa huyu?
 
Ili mgundue nini sasa?
kwanza ni mwiko mtoto wa kiume kulala na wazazi wake sembuse wa kike?
 
Aisee, huyo baba ni mvumilivu kwa kweli, ningekuwa mimi, tayari nishagusisha kichwa tu.

Natania bhana, ila kuna ka ukweli kwa wanaume wengine
 
Back
Top Bottom