Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
No sijawai kuwa na acccount fb naonaga mtandao wa wanafunzi wa sekondari na waswahili kuna jirani yetu hapa nasikia analala na bint yake mama yake kaenda kwao kusalimia uchaganiUmeitoa Facebook hii maada na picha kwenye page ya hello..me naona haifai kwa sababu kichwa cha chini hakina akili hata moja
ππππ father coming soon huyo kasemaMhmhmh hapana. Siwezi. Akiwa below 5 naweza. Ila zaidi ya hapo akalale mwenyewe na wenzake.
Nalala uchi, ageuke anishike dudu tena lenye mavuzi?
?Watoto wa kike wanakosesha amani hata kusafir nao.
Kwa umri gani unaweza lala naeInawezekana kwanini nisilale na binti yangu?
Sio ulimwengu wa sasa bro. Kuna mila nyingi tu binti akishavunja ungo haruhusiwi kuketi sehemu moja na wanaume. Haya mambo ya kula, kuangalia tv au kwenda beach na watoto wako mkiwa kwenye swimming customes ndio usasa wenyeweKwa ulimwengu wa sasa sio jambo zuri ila pia inategemea na baba mwenyewe kama ndio hawa wa bro , oya , inakuaje , basi nakusihi wewe mwanamke mlinde mwanao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahizi shetani yupo karibu anacheza na ubongo wa uko chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hellow
Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasahivi?View attachment 2436769
Upo hello Tanzania? Lile Ni group la hovyo kuwahi kutokea ndege JOHNUmeitoa Facebook hii maada na picha kwenye page ya hello..me naona haifai kwa sababu kichwa cha chini hakina akili hata moja
ππππ unanifurahishaga chaliiSahizi shetani yupo karibu anacheza na ubongo wa uko chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna ubaya baba mzazi kulala kitanda kimoja na binti yake from mdogo up to 6 years, akianza primary, anakuwa sasa ni mkubwa, hivyo hana sababu ya kulala na dady.Hello
Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
Miska 6 ming sanaHakuna ubaya baba mzazi kulala kitanda kimoja na binti yake from mdogo up to 6 years, akianza primary, anakuwa sasa ni mkubwa, hivyo hana sababu ya kulala na dady.
P