Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

Lihuni hilo limzazi.Mtoto unacheza naye kwa akili muda mwingi.Kiboko ni mara chache sana na ikilazimu hasa.Sasa anawapa adhabu ngumu za wafungwa au kuruta wa jeshi ili watoto wajifunze nini kwa miili yao michanga hiyo?Yani watoto wamepewa adhabu ya kuibembeleza dunia?Nani,hata watu wazima,walishawahi kuweza hilo?
 
Bora huyo kuna mjinga huku kwetu hv karibuni kaua mtoto

yAan mtoto wa miaka 10 wakamzoesha kukaa dukani na kuuza akaiba hela jamaa akapiga mpaka akazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…