Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,272
- 25,314
Hakikisha unahisia nae za mapenzi na unampenda kweli...Acha niishi na hii comment.....Dec nilipanga kumaliza mchezo 2026 nimuweke ndani tu ila uoga ukanijaa
Fuata moyo wako...
NB: Za kuambiwa changanya na za kwako