hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
We ni wa kupigwa kabisa 😂
Dah unanijeruhi sana.....au kaka uliwahi gongewa?😁😁
Binaadamu kukumbashana muhimu kaka
🤣Sindio hapo 😁😁
Huna adabu master
Abiria chunga mzigo wako , Ndio mawaidha yenyewe hayo mkuuHapo ni mawaidha gani mkuu
Uyo ata kuja toa ushuhuda hapaAandae na pingu zake
Asante, nitafanya maamuzi magumu na nitaleta mrejesho hapaChukua jiko
Shida una piga kwenye mshono😁😁
Binaadamu kukumbashana muhimu kaka
Anhaaah sawasawa kumbe nilikaza fuvuAbiria chunga mzigo wako , Ndio mawaidha yenyewe hayo mkuu
Aliwahi notice movement zetu ila akaishia kuweka target tu.Nani Amekudanganya Mama Yake Hajui??Mtego Umenasaa....
🤣🤣🤣 Usipo gongewa Sasa utaweza vipi kutambua kuwa mahusiano hayana shukrani,!?Dah unanijeruhi sana.....au kaka uliwahi gongewa?
Ananijeruhi sana mkaliiShida una piga kwenye mshono
Jirekebishe 🤣Anhaaah sawasawa kumbe nilikaza fuvu
Umenena vyema......shukran ya punda siku hzii ni milio tu🤣🤣🤣 Usipo gongewa Sasa utaweza vipi kutambua kuwa mahusiano hayana shukrani,!?
AsanteJirekebishe 🤣
Ata ivyo na wewe si una zichapa za njee kakaAnanijeruhi sana mkalii