Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
- #21
Asante naishi naloOa wewe acha ushamba wako.Mbona Adam alioa sehemu ya mwili wake na hakujishangaa?Oa.
Asante naishi naloOa wewe acha ushamba wako.Mbona Adam alioa sehemu ya mwili wake na hakujishangaa?Oa.
Bora akatae ndoa ili kulinda kibunda.Oa wewe acha ushamba wako.Mbona Adam alioa sehemu ya mwili wake na hakujishangaa?Oa.
Ni sahihi Tena,mmefanya kosa kula tundra kabla ya ndoa!NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI?
Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!!
Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan zinafahamiana na kuheshimiana sana sababu pia ni Wasukuma (si mnajua wasukuma wakikutana hugeuza urafiki hadi undugu)
Mama wa ile familia ninamuita Aunt au Mama na vijana wake ni marafiki zangu tangu 2010 tumeishi
KISANGA.....!!
2020 Nilianza mahusiano na binti 1 wa familia ile na tunapendana sana na ahadi mingi za kuoana na tayari tumeshafanya uchafu woteee na baadhi ya wanafamilia wake wanajua mahusiano yetu ila bado yule mama yake tu hajui.
MSAADA.
NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA PALE AU NITAKUWA NIMESHUSHA URAFIKI WA FAMILIA ZETU?
Kama anataka kibunda chake awe anapiga nacho picha haina mbaya.Bora akatae ndoa ili kulinda kibunda.
Oa chapFamilia yao haina shida wanajiweza na yangu pia, kifupi wazee wangu wananisubiria tu
I appreciateOa chap
Wewe ni team KATAA NDOAKama anataka kibunda chake awe anapiga nacho picha haina mbaya.
HakiaKwa sababu mlishakua na mahusiano
Muoe
Bwana harusi mtarajiwa unaanza kuropokwa matusi. 😢We matakoni sio unataka ukamle?
Kwa hiyo yule binamu yako nampatajeurafiki ndio una kuwa mkubwa zaidi ila jiandae kusolve changamoto zao kwa uharaka
Aloooh hapo napaswa kula fimbo nyingi sana sio?Ni sahihi Tena,mmefanya kosa kula tundra kabla ya ndoa!
Wewe kwanini uombe namba za shemeji yako?Bwana harusi mtarajiwa unaanza kuropokwa matusi. 😢
Daaah 🤣Bora akatae ndoa ili kulinda kibunda.
Ni sahihi kabisa na hata wazee wenu wa zqmani ndivyo walivyofanyaNAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI?
Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!!
Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan zinafahamiana na kuheshimiana sana sababu pia ni Wasukuma (si mnajua wasukuma wakikutana hugeuza urafiki hadi undugu)
Mama wa ile familia ninamuita Aunt au Mama na vijana wake ni marafiki zangu tangu 2010 tumeishi
KISANGA.....!!
2020 Nilianza mahusiano na binti 1 wa familia ile na tunapendana sana na ahadi mingi za kuoana na tayari tumeshafanya uchafu woteee na baadhi ya wanafamilia wake wanajua mahusiano yetu ila bado yule mama yake tu hajui.
MSAADA.
NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA PALE AU NITAKUWA NIMESHUSHA URAFIKI WA FAMILIA ZETU?
Wewe ujatulia kabisa wewe 😂 af yule akipenda mtu kapendaa napataga shida kumbembeleza akisha pigwa tukioKwa hiyo yule binamu yako nampataje
Daah kaka mbona hii comment imenijeruhi? Hebu fafanuaHiyo nzuri sanaa, umeoa dada lakini pia ni rafiki yako kama haitoshi ni mke halali kwa kuongezea ni mchepuko wako
Nitake radhi.Mimi nikatae ndoa ili nani Awape huba akina "mpenzi"?Kataa ndoa ni utoto/rscapisim kukwepa majukumu ya ki-baba.Wewe ni team KATAA NDOA
Sure! Acha nioneNi sahihi kabisa na hata wazee wenu wa zqmani ndivyo walivyofanya