Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
- #41
ASANTEEE......!! sasa unaweza kunishauri kuhusu ndoa nini nifanye na vitu gani nizingatie kujua yupi ni chaguo sahihiNitake radhi.Mimi nikatae ndoa ili nani Awape huba akina "mpenzi"?Kataa ndoa ni utoto/rscapisim kukwepa majukumu ya ki-baba.