Hakikisha unahisia nae za mapenzi na unampenda kweli...Acha niishi na hii comment.....Dec nilipanga kumaliza mchezo 2026 nimuweke ndani tu ila uoga ukanijaa
Hakika hapa umegusa kila kitu na ukweli ni 100% namuhitajiHakikisha unahisia nae za mapenzi na unampenda kweli...
Fuata moyo wako...
NB: Za kuambiwa changanya na za kwako
HakikaNdio karma
Ma bro wake ni marafiki zangu tangu, nawaza hapo kuwa face changamotoSioni tatizo kama hamna undugu wowote........
Asante hii comment nitaiweka laminationSasa Kama Wazazi Wako Umeshawaweka Wazi Na Ni Famili frendi,,Elewa Na Binti Kwa Upande Wake Ameshaweka Wazi Pia...Embu Usitusumbue Hakikisha Unamtia Mimba Na Maandalizi Mengine Ya Kuwa Kiwiliwili Kimoja Yaendelee....
Ndio nilimtoa mimi
Ni sahihi lakini nyie siyo ndugu maisha lazima yaendelee, chamsingi anza kutengeneza kadistance nao,we ni shemeji yao..........Ma bro wake ni marafiki zangu tangu, nawaza hapo kuwa face changamoto
Ngoja nianze kujiheshimuNi sahihi lakini nyie siyo ndugu maisha lazima yaendelee, chamsingi anza kutengeneza kadistance nao,we ni shemeji yao..........
SasambaMkuu vitendea kazi kama vipi? Fafanua