Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kiukweli huu ni ushamba tuu na kuwatesa bure wananchi bila sababu ya Msingi!.Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums.
...... tunekaa almost 2 hrs kusubir nabado hajapita huu ni kujifanya mungu mtu na yeye pia jambo hili analifurahia huu ni utumwa wa kifikra.
Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!
Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo. Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa...