Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita?

Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita?

Huyu kazaliwa leo hajua ulinzi wa viongoz

Ujinga mtupu, ndio maana hao viongozi wakifika huko nje wanaishia kuona wanapuuzwa tu. Unakuta kiongozi anasema kaingia madarakani kwa njia ya kura, lakini ana ulinzi kama kaingia kwa kupindua nchi. Cha ajabu akienda huko nje ambako hakuna yoyote aliyempigia kura, hana ulinzi wowote wa kutisha. Huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani.
 
Back
Top Bottom