Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
mambo yaenda yakiongezeka, enzi za Nyerere sikumbuki kama Mama Maria alikuwa na gari na msafara, Mama Sitti akapewa gari, Mama Mkapa magari mawili na traffick!, Mama Salma magari 3 na traffick!. Sasa Mama Janet sijui, ila mialiko yote ya 1st lady wa Tanzania, anakwenda Salma mpaka leo!.Well mkuu, ila swali why wapewe upendeleo huu?why wasiwe kwenye traffic jam kama motorists wengine?,awamu ya kwanza ni president, vice president, PM na labda SG wa Chama tawala ndio walikua na misafara na haizidi 3 cars, mara nyingi msafara wa president Nyerere (rip)ulikua unapita kimya kimya, au una flash tu ile blue lights (na hizi blue lights zilikua ni kwa police cars only!!!,Leo bajaji nazo zina flush blue lights!!)
Sasa zaidi ya wale wakuu 6,
- Rais wa JMT
- VP
- PM
- Rais za Zanzibar
- VP-1
- VP-2,
- Spika nae ana msafara!.
- CJ ana msafara!
- CDF ana msafara!
- DGIS ana msafara!